Zitto Kabwe katokomea wapi na vijarida vyake?

Zitto Kabwe katokomea wapi na vijarida vyake?

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2022
Posts
1,370
Reaction score
3,165
Yule mchumi wa maigizo anayejiita Zitto Kabwe kapotelea wapi siku hizi?

Wakati wa Magufuli, Bwana Zitto alikuwa na mstari wa mbele kumkosoa magu kwa mbwembwe na madoido huku kabebelea vipeperushi vya takwimu za kubumba.

Sijui kajificha wapi siku hizi. Sijamsikia akikosoa matozo.

Kajibanza anabugia buyu la asali kimya kimya.

Au kazamia nje ya nchi? Mbona hakosoi matozo ya samia?
 
Hata Mimi nakuuliza, yuko wapi, huyu mwanasiasa Kijana machchari Zitto Kabwe, mbona siku hizi hasikiki kabisa??
Kazimika kama moto. Kimyaaaa!!!

Wakati wa magufuli angeshatoka mbele ya mativii akijishaua kwa madaha na vijarida vyake.
 
Mtoa hoja kwani umebeba mimba ya Mr.Zito?,why working class mnapenda sana kupiganiwa?,why usijipiganie mwenyewe?,why Mr.Zito he must fight your battles? Elewa wakati wewe umefyata mkia wako Mr.Zito aliunguziwa nyumba yake,na hukotoa hata pole!,Mr.Zito anapigana battles zake na wewe pigana na za kwako
 
Back
Top Bottom