Kwanini Wamachinga hawasemewi kama walivyokasemewa Wafanyabiashara wa Bureau de Change?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,220
12,937
Ilikuwa mwaka 2018, Kipindi Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa Rais ndipo mshike mshike ulianza wa Maduka ya kubadilishia fedha yalifungwa chini ya ulinzi mkali, jambo ili lilifanya watu wengi kusimama na wafanyabiasahara wa Bureau de Change, wabunge na Wanaharakati walitetea wakiitumu Serikali ya wakati uo kupola mali za wafanya biashara ao.

Baada ya miezi kadhaa Mkuu wa Nchi kipindi hicho alitoka na kueleza kuwa Bureau de Change ulikuwa na uchochoro wa kupitishia fedha haramu, baada nao BOT walitoa statement yao ikiwa na maelezo hayohayo, ni kweli tangia mwaka 2015 thaman ya pesa Tsh ilikuwa inashuka kwa kasi dhidi ya Dola mpaka kufikia 2019 mpaka operation hiyo inakamalika.

Wanaharakati na Wabunge walisema sehemu zote juu ya unyangangi ule lakini Serikali ikidai wanavunja sheria.

Kuanzia mwaka jana 2021 Serikali ya Awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan yenyewe iliajikita kufukuza wamachinga wote nchini, ni kweli Serikali imefanikiwa kwa kiasi kikubwa juu ya zoezi ili, ila zoezi limetawaliwa na vipigo kwa Wamachinga, kuhalibiwa kwa mali zao, na kuporwa mali zao Tanzania nzima, binafsi nipo kariakoo naona kila siku gari za wale mgambo zikiwa zimebeba mali za wamachinga lakini si wabunge wala wanaharakati waiojitokeza kuwatetea kuwa mali zao warudishiwe au kulaani tu tukio lile!

Wamachinga tumewapuuza au biashara yao haina mkono wa wakubwa tofauti na Bureau de Change ambapo mtu kama mbunge anaweza kufanya hiyo biashara au wanaharakati?

Nani awasemee wamachinga?
 
Matajiri wanasemewa kwakua wanajua kutoa pesa wezeshi kwa wanaowasemea
...kuwasemea machinga ni kazi ya kujitolea.

Tangu maduka ya kubadilisha fedha yaanze kurudi thamani ya pesa yetu imeanza kushuka kwa kasi sana, i bet waliobatilisha maamuzi hawajali kwakua washakatiwa chao mapema, what happen after that is none of their concerns.
 
Back
Top Bottom