Inaonekana idadi ya watu waliotazama tukio la msiba wa Dr. Magufuli kwa dunia nzima limetolewa kupitia ukurasa wa Twitter hapa
Mtu aliyetamka au kuandika hizo takwimu anapatikana katika...
IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa mifumo imara inayowajengea wanawake misingi bora ya uongozi katika ngazi mbalimbali ndio kikwazo kikuu kinachokwamisha ufikiaji wa usawa wa kijinsia katika vyombo vya...
UVCCM_ TAIFA
SEPT. 19, 2022
MTWARA
UPANUZI WA BANDARI YA MTWARA
Serikali ya awamu ya sita Chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN inafanya ukarabati wa Bandari...
Bunge la Ulaya limeazimia kuufuta mradi wa bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga Tanzania.
Sababu za kitoto wanazotoa ati ni uharibifu wa mazingira na haki za binadamu!!
Huu ni uhujumumu wa moja...
Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili.
Tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022.
Mkutano wa kupokea na kusiikiliza maoni ya...
Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA
Zinajazwa...
Akiongea na kituo kimoja cha redio hapa nchini, mkurugenzi msaidizi wa elimu ya mpiga kura kuhusu tathimini yake ya uchaguzi uliomalizika hivi karibuni nchini Kenya, amesema hakuna tofauti kubwa...
Bunge limeridhia kuipa mamlaka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya (DCEA), uwezo wa kuanzisha mahabusu zake na masharti ya kumuweka mtu kizuizini kwa kuzingatia taratibu za...
Watanzania siyo Wajinga alisisitiza Shujaa Magufuli
Watanzania wa Leo wanaelewa kila kinachoendelea kwenye nyanja za kisiasa hivyo hawahitaji kufafanuliwa na yoyote owe Kitima, Prof Mkandalla...
Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu.
Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90...
Kuna kundi linajitangaza eti wao ni WAVAMIA VIWANJA.
Kwenye mitandao ya kijamii kundi hili hu comment kwenye baadhi ya mada wakihamasisha wanachama wao waende kuvamia maeneo kadha wa kadha...
Salaam Wakuu,
Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je...
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi na JamiiForums kinazindua Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi.
Bernadetha...
Wananchi wameamua kupaza sauti kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kuwepo kwa mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali na kumuomba Rais Samia aingilie kati kuwanusuru.
Prof. Ibrahim Lipumba leo ameuelezea uchaguzi wa 2020 akiwa kwenye mkutano ulioandaliwa na TCD. Lipumba ametolea mfano Pemba ambako CCM walikuwa hawapati viti lakini 2020 wakabeba viti 12 ilhali...
Hiki ndicho alichoandika Mbunge Dr. Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter:
ONYO LA MWISHO KWA MNAOMTUMA KIGOGO: iko hivi; ninawajua, na nyie ni rafiki zangu, tuendelee kuheshimiana...