Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kinachoonekana ni serikali kuanza kushindwa na tatizo la panya road. Hili ni jeshi linalovamia kimya kimya na kufanya uhalifu mzito ndani ya muda mchache na kupotea. Ni wazi serikali imechemsha...
1 Reactions
0 Replies
551 Views
Haya nayo ni majabu ya Tanzania. Pamoja na kwamba naunga mkono tozo lakini siungi mkono Serikali kununua magari ya kifahari. Magari ya kifahari tuwaachie watu binafsi na sio serikali. Kwenye hili...
17 Reactions
53 Replies
6K Views
Ukiondoa story za vijiweni na uzushi mwingi kumhusu alhaj Kighoma Malima RIP binafsi nilimkubali sana yule Prof kwa kunena na kutenda Kwake. Wakati akiwa Waziri wa Fedha nilikuwa nafuatilia jambo...
1 Reactions
1 Replies
595 Views
Watu wa kulalamikia ni walenwapiga makofi kule Mjengoni wale ndio tatizo kubwa sana nchi hii, na awu hii walivyo jazana kule sasa ndio balaa tupu. Naona watu wanamulaumu sana Mwigulu, sijaona...
2 Reactions
11 Replies
823 Views
Profesa wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mohamed Bakari amekitahadharisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuwa makini na kikosi kazi, kwani kinaweza kuwa njia ya...
16 Reactions
20 Replies
2K Views
Wiki hii kwangu imenipa kufikiri sana. Mitandao ya kijamii na habari iliyozagaa sana huko, ilikuwa kuhusu usafiri wa mabasi ambao viongozi, wakuu wa nchi waliotumia kwenye mazishi ya malkia wa...
2 Reactions
0 Replies
614 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimeitisha Mkutano na Waandishi wa Habari, tarehe 20/09/2022 , Saa 5 Asubuhi kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, zilizoko nje ya Jiji la Dar es...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Inasemekana Chadema itatangaza utaratibu wa Mapokezi ya Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu anayetakiwa kuwasili hivi karibuni Tundu Lisu anaweza kushukia KIA kisha kusindikizwa na msafara mkubwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili. Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya...
5 Reactions
103 Replies
17K Views
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu? J, kuna haja...
13 Reactions
81 Replies
5K Views
Jilala,machiya na Mihambo ni wazee wa kata hiyo,walisikika wakilalamika Sana,Adili akarekodi ! "Unajua hii Bara Bara ya Mabeshi kuja hapa Loya ni ya kimkakati na tuliambiwa msimu HUU wa kiangazi...
0 Reactions
3 Replies
736 Views
Kila transaction uliyofanya kuanzia mwezi wa 7 serikali inakukata 4000 mara 2. Huu ni WIZI. nasisitiza huu ni WIZI WA WAZI KABISA. Serikali Hii inafanya WIZI WA PANYA OFFICE. ni tofauti ndogo tu...
2 Reactions
7 Replies
698 Views
1. Misururu ya magari barabarani, ni nadra sana kuona misururu ya magari ikiwa kwenye misafara ya kiongozi wa nchi huko kwa waliondelea. Kama watatumia magari basi ni machache, wengine wanatumia...
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwigulu Nchemba ana ushetani mwingi sana. Hana utu hata kidogo,ana kiburi na mjivuni sana. Suala la kuwakata watu pesa zao zikiwa bank na wanapotoa huu watu wameuchukulia kama ni Unyang'anyi wa...
2 Reactions
2 Replies
650 Views
RC MAKALLA: OPERESHENI INAENDELEA, DAR ES SALAAM NI SHWARI - Asema Operesheni ya kukamata Panya Road imekuwa na mafanikio makubwa. - Vituo vya polisi vikubwa kwa vidogo kufanya kazi saa 24...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Wanadai...
35 Reactions
228 Replies
18K Views
Rais Samia atangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II kilichotokea tarehe 8 Septemba, 2022. Maombolezo hayo yataanza tarehe 10 Septemba hadi tarehe 14 Septemba...
13 Reactions
180 Replies
12K Views
Wanajamvi habarini? Nisiwachoshe sana ngoje nitoe madini kidogo kuhusu itifaki ilitomika kuwabeba vichwa vya dola (Head of states ) huko kwenye msiba wa bi Elizabeth na kuwa ngumzo huko...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Huu ndiwo ukweli bayana ambao CCM yangu inabidi itambue. Tofauti baina ya wenye nacho na wasiokuwa nacho inaendelea kuwa kubwa hapa kwetu Tanzania na hapo ndipo viashiria vyote vya vurugu huko...
0 Reactions
6 Replies
813 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na MIchezo Dkt. Abbas anafunga kikao cha maudhui ya ndani leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya...
0 Reactions
3 Replies
744 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…