Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Fedha, Dkt Mwigulu Nchemba amesema yeye pamoja na viongozi wenzake Serikalini ni binadamu kama wengine, hivyo lazima watafanya makosa kwenye maamuzi fulani kuhusu #Tozo. Amesema “Katika...
11 Reactions
83 Replies
7K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshauriwa kama mtu mzima aombe msamaha kwa watanzania kwani mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kukimbia uchi. Ni miaka sita sasa tangu Tundu...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Tundu Lisu kwa miaka 6 iliyopita aliitumia kusafiri kote duniani kuichafua nchi ili watalii wasije na pia bandari ya Dar ikose mizigo kwa kukimbiwa na wageni, sasa Kenya wameanza kutekeleza maono...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Hatari kweli viongozi wa Bara la Afrika Tanzania ni mojawapo, wakija mjini New York nchini Amerika, wanatumia pesa nyingi kukaa katika mahoteli ya kifahari kwa ajili ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kidumu Chama Cha Mapinduzi Mimi; BENEDICT FAUSTINE KIKOVE Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukiona mwenyekiti wa Chadema ameongoza kikao cha kumfukuza mtu uanachama basi Ujuwe mtu huyo ni janga popote aendapo Kiufupi Freeman Mbowe ni kiongozi mwenye Upendo kama unabisha muulize Shibuda...
2 Reactions
9 Replies
740 Views
Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na...
2 Reactions
85 Replies
8K Views
Mgombea uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Rosemary Linda ameomba kuwe na tume uhuru ya kuhesabu kura ili kuondoa dhana ya kuibiwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Taarifa ya vyombo vya usalama inasema kwamba , Mkutano batili wa NCCR MAGEUZI ulioandaliwa na Joseph Selasini katika Hotel ya St Gasper Mkoani Dodoma umepigwa Marufuku . Hazikutolewa Taarifa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkutano Mkuu wa dharura wa chama cha NCCR-Mageuzi umemchagua Joseph Selasini kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho. Selasini amechaguliwa katika uchaguzi uliofanyika leo Jumamosi Septemba 24,2022...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sisi wana CCM ndani wa Hai tunakiomba chama chetu kimdhibiti Saasisha maana ametumia uchaguzi huu kugawa chama. Saasisha alikuta tumeungana ila sasa anagwa jimbo Ili mjomba wake Freeman Mbowe...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Wa Iran wanawake kwa wanaume wamesimama imara kupigania haki zao. Hijab haziwahusu wanaume ila haki za wanawake ni jukumu la wote. Kwetu haki zina macho. Ubinafsi umetamalaki. "Kwetu polisi...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the...
26 Reactions
155 Replies
13K Views
Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Mikoa mingine mbona hawa vijana wanadhibitiwa? ======== Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema mkoa huo umeongeza askari 300 kwa ajili ya msako wa kuwakamata...
12 Reactions
119 Replies
9K Views
Huku bei za bidhaa zikizidi kupanda, tozo nazo kila mahali; cha kushangaza ni kwamba, hakuna jitihada zozote zinazooneshwa na viongozi wa serikali kuu katika kubana matumizi! Ziara na misafara...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Leo wilayani ludewa kulikuwa na uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ccm na wajumbe wawakilishi.Ajabu umememe ulikatika wakati wa kuhesabu na jenereta halikuwaka wakati wa kuhesabu na wakati wa...
1 Reactions
4 Replies
566 Views
Nimeona baadhi ya watu wanaopinga MBATIA kufukuzwa uanachama ndani ya NCCR MAGEUZI wakitoa hoja isiyo ya msingi ambayo wanataka kuimezesha kwenye vichwa vyetu ya kudai kuwa kufukuzwa kwake...
0 Reactions
5 Replies
813 Views
Siku ya Jumatatu tarehe 24 Mwezi wa pili mwaka 2020, Madiwani 11 wa Chadema Jiji la Mbeya wakiongozwa na meya wa Jiji hilo, mchungaji David Mwashilindi walihama Chadema na kujiunga na CCM. Je...
9 Reactions
182 Replies
21K Views
Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti...
21 Reactions
72 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…