Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia anaenda kuweka historia nyingine mpya katika sekta ya elimu licha ya maboresho makubwa yaliyofanyika katika kipindi cha mwaka 2021/22 kwa sekta ya Elimu, tayari serikali imepanga...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani Mbanda amesema Serikali imejiridhisha ikiwa ni baada ya siku 42 za ufuatiliaji ulioimarishwa bila kuwepo kwa mgonjwa mpya aliyebainika kukumbwa na janga la...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Amani Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe. “Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
kila siku kusema chama ni kama cha China je nmaweza kufanya haya kwa mtu wa CCM? Lakini hii serikali inaweka waislamu kwenye kambi maana wanataka kila mtu awa abudu wenyewe yaani Chama. Idadi...
1 Reactions
3 Replies
618 Views
Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema. Zaidi yatakujia hapa hapa.
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao...
15 Reactions
65 Replies
4K Views
Ndugu zangu uhai wa binadamu yeyote ni muhimu sana, Ila hata Muumba katika maandiko kadhaa aliongoza vita na mamia wakaangamia. Ukweli mchungu majambazi wapo ni watu hatari na wabaya wanapoteza...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Waziri wangu Ummy Mwalimu, pole kwa majukumu. Nina la Kushauri juu ya bima ya afya kuwa Lazima. Kabla Sheria haijasainiwa na raisi basi ninaomba kuweka neno. Ukweli ni kuwa bima ya afya ni...
2 Reactions
7 Replies
722 Views
Chama Cha mapinduzi Kiko kwenye michakato ya Uchaguzi wao wa NDANI ila Cha kushangaza kwenye Kila uchaguzi hasa za wiki Jana za jumuiya vyombo VYA ULINZI na usalama vimekuwa mstari wa mbele...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari! natumaini ni wazima wa afya. Kumekuwa na vitendo vinavyo leta maswali katika jamii ya watu walioelimika ukiachana na hawa wafata mkumbo ambao ndio wengi katika Taifa hili. Je, polisi...
1 Reactions
1 Replies
551 Views
Familia za wahanga wa mauaji ya Tarime kwa hakika zimekosewa sana. Hivi ndivyo ilivyo kwa vifo vyote vya makusudi vinavyotekelezwa na vyombo vya dola kinyume cha sheria. Wito huu ni kwa...
12 Reactions
44 Replies
3K Views
Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaleta nchini Tanzania wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka katika nchi 27 (Mwezi August 2022) wanaojishughulisha na mambo ya TEHAMA na kufungua...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema aliyekuwa mwenyekiti wao Mh Mbatia ameuza shamba hekari 45 Bagamoyo, Nyumba mbili za ghorofa Bunju DSM na Nyumba moja mkoani Mara na Fedha...
10 Reactions
46 Replies
5K Views
Ripoti mpya kuhusu Mtazamo wa Uchumi wa Afrika Mashariki, iliyotolewa na Deloitte imesema Ukuaji wa Uchumi utashuka hadi 5.3% ikilinganishwa na 6.4% ya mwaka 2021 ambayo ni ongezeko la 3.1% kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara nyingi waungwana huwa wanaona kwa jicho la mbali, baada ya kuondolewa Mh. mbatia Pale NCCR wapo tuliojua nini kitafata kwenye vyama vingine kwa bahati mbaya wanataka kutumia njia hiihii...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna saa utafikiri tunawaza kwa kutumia makalio, soko la machinga unaanza kugawia muuza bar kwanza kabla ya machinga ili pombe zitangulie hapo mnatengeneza nini? Halafu mnakuja mnalalamika...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni mara nyingi sana inatokea kuona polisi wetu wakisimama kwenye podium kuzungumza na waandishi wa habari, wanachozungumza mara nyingi ni "watuhumiwa walipigwa risasi na wakafa wakikimbizwa...
12 Reactions
105 Replies
8K Views
Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Jumanne Septemba 27, 2022.
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Nchemba na mwenzie wa Falme za Kiarabu wametiliana saini mkataba wa kuondoa Utozaji Kodi mara mbili. Waziri Dr Mwigullu na Naibu Katibu Mkuu Mafuru ambao wako Falme za...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…