Kwa sasa kero kubwa kwa wananchi imekuwa kukithili kwa ujambazi na majambazi yamekuwa tishio.
Jeshi la police linajitahidi kupambana na majambazi kwa kila namna ili kuifanya nchi kuwa sehemu...
Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa Asilimia 5.4 tofauti na matarajio ya awali ya Asilimia 4.7 katika robo mwaka ya kwanza ya Mwaka huu wa 2022.
Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika...
Tanzania inatarajia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo katika mwaka ujao wa fedha. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa alibainisha jana kuwa...
Friday, 4 January 2013KATIBU BAVICHA AJIUNGA NA NCCR-MAGEUZI
Ndugu Deogratius Kisandu aliyeshika Kadi, Kulia kwake ni Ndg. Florian Rutayuga ( Afisa Utawala wa Chama) na Katikati ni Ndugu...
Leo ni siku ya 5 tangu Mohamed Dewji(Mo) atekwe na watu wasiojulikana. Mpaka sasa haijulikani Mo yuko wapi, kama yuko nje au ndani ya mipaka yetu, kama yuko hai au amekufa! Kinachosikitisha ni...
Uganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka...
Kuna mahali zamani sana nyumbani kwa ndugu yangu niliona picha ya simba yenye maneno haya NO POLITIC yaani kwa kinyasa hakuna siasa.
Kuna kipindi katika maisha yangu nilivutiwa na siasa wakati...
SHAKA AWAHAKIKISHIA WADAU KUWA CCM ITASHIRIKIANA NA KILA MWENYE NIA NJEMA KWA MAENDELEO YA TANZANIA NA WATANZANIA
Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Mkoa wa Dodoma (DWJ) jana...
Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma...
Dodoma. Mgombea wa nafasi ya mjumbe wa halmashauri ya CCM wilaya ya Dodoma amewavunja mbavu wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya baada ya kuwaomba wamchague kwa sababu ana nguvu za kiume.
Mgombe...
Waziri utukufu wa mungu ukawe juu yako, na nakupa pole na majukum yako kwa mbali sana maana ni kazi yako na ujira unalipwa hufanyi bure.
Naja kwenye dhumuni la andiko hili, moja kwa moja maana u...
Takribani wiki moja hivi nimekuwepo huku Njombe kikazi hususan Mji wa Makambako.
Nimekutana na balaa la kukatwa kwa umeme kwa kiwango cha kimataifa.
Kushinda bila umeme siku nzima imekuwa...
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir Mwadini, amesema hakuna utaratibu unaowatambua Watanzania waliokwenda kufanya kazi za ndani nchini Saudi Arabia.
Balozi Mwadini alisema hayo...
Kila ninapomsikia Padre Kitima akitema cheche huwa namkumbuka sana yule Jasiri wa Chadema Dkt. Slaa
Yuko wapi Dkt. Slaa maana hasikiki kabisa?
Sabato njema
Mahakama ya Afrika Mashariki imesema uamuzi iliyochukuliwa na serikali ya Tanzania wa kuzingira ardhi kwa ajili ya ulinzi wa wanyamapori na kuwaondoa Wamasai ulikua wa kisheria.
Dhumuni la...
Ni lazima kabisa watu hawa wakamatwe sasa badala ya kusubiri Tume ya Uchunguzi , Kama wale walioua mfanyabiashara Mtwara wako selo , hawa wa Serengeti wanasubiri nini .
Kingine ni hiki ...
Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike.
Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema.
Leo hii tunahangaika kupata mapato.
Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani...
Taarifa mpya kutoka Mkoani Mara zinadokeza kwamba , baada ya sarakasi za kuuawa kwa walioitwa majambazi huko Serengeti , ambapo wadau mbali mbali wamejitokeza kuhoji uhalali wa mauaji hayo ya...
Katika mazingira haya ambapo kila mtu ataonja mauti tunaona kiburi cha uzima kwa baadhi ya Wanasiasa huko duniani
Tafakari pasingekuwepo kufa hali ingekuwaje?!!
Sabato njema