Tetesi: RPC wa Mara adaiwa kuandaa Maandamano ya kumpongeza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,240
Taarifa mpya kutoka Mkoani Mara zinadokeza kwamba , baada ya sarakasi za kuuawa kwa walioitwa majambazi huko Serengeti , ambapo wadau mbali mbali wamejitokeza kuhoji uhalali wa mauaji hayo ya kishamba , eti leo wameonekana madereva wa bodaboda wakimpongeza RPC Kwa kuua Majambazi , inakadiliwa kuwa Bodaboda zaidi ya 100 walishiriki maandamano hayo ya pongezi ! (Nani atathibitisha kama waandamanaji hao ni madereva wa bodaboda ?) , acha iwe siri.

Bali Mashaka juu ya Jambo hili ni BAADA YA WAONA MBALI KUTAMBUA KWAMBA KUMBE MUANDAAJI WA MAANDAMANO HAYO NI RPC MWENYEWE ! yaani kaandaa kupongezwa ili asitumbuliwe ! haya ndio maajabu ya Tanzania , kama waliouawa ni majambazi hofu ya kutengeneza maandamano ya mchongo inatoka wapi ?

Swali : Hivi ni wapi mlikowahi kukuta bodaboda wanaandamana ili kupongeza mauaji ya majambazi ? Kwanini leo iwe Mkoa wa Mara ? Na je kama hilo jambo limegusa Mkoa wote kwanini yasingeitishwa maandamano ya wananchi wote wa Mara badala ya kikundi kinachoitwa Madereva wa bodaboda ?

KILA UBAYA UTALIPWA
 
Bali Mashaka juu ya Jambo hili ni BAADA YA WAONA MBALI KUTAMBUA KWAMBA KUMBE MUANDAAJI WA MAANDAMANO HAYO NI RPC MWENYEWE ! yaani kaandaa kupongezwa ili asitumbuliwe !
 
Kuna wimbi fulani la uhalifu unaofanywa na Askari polisi NCHINI linaendelea!

Mauaji na taharuki kama hii ILITOKEA Mwezi March MWAKA huu!KILA mahali mauaji ya kutisha yaliripotiwa!!

Yamerudi tena!kana kwamba kuna juhudi za maksudi KABISA haya KUTOKEA!

Sijui ni kwa faida ya nani hii fear factor inatengenezwa hapa NCHINI!!
Kuna hypothesis MBILI au ZAIDI HAPA nijaribu kuziandika;-

1.Ni maelekezo ya mama kwa igp aonyeshe makucha yake Ili kuwaonyesha Kuwa na yeye Anauweza mkono wa chuma Ili kutuma ujumbe kwa wale wanaomchukulia poa!!!?

2.Kuna MPANGO kazi wa kuuchafua utawala wa MAMA kwa maksudi kabisa iliachukiwe kwa MALENGO fulani maalumu kabisa ya wenye kutaka iwe hivyo!!!?

3.Ni maandalizi ya tukio Fulani ambalo hatulijui labda majasusi wanakijua Kuwa nini kinaendelea katika anga la nchi yetu!!

Hadi January mwakani picha tutaipata;!!!
 
Assume kwamba zote zinatumika kwa pamoja.
 
Ohoooo !!!
 
Ndio mjue kuwa kila kitu ni mchongo tu , angekuwa na wazo tu la kuandamana mpinzani shughuli angeiona, wazo tu , narudia wazo wala sio kufanya maandamano. Nchi ngumu sana hiyo ndiomaana wengine tuliamua kubeba boksi tu hadi kieleweke huku. Kuishi na majitu yasiyo na akili na yenyewe ni akili kubwa sana, Poleni sana
 
Nipo tofauti kidogo na nyie hapa. Aisee polisi kama polisi hawawezi kuandaa maandamano ya dizain hii, hawa jamaa hakuna anaewapenda hivyo mpango wao ungevuja mapema kabla hawajautekeleza. Kuwapanga bodaboda zaidi ya mia na wakakuelewa wote sio kitu rahisi hata kdogo.
Hata hao ma Rpc huwezi kusema anaogopa kutumbuliwa sababu ni mara chache sana hao kumaliza miaka mitatu akiwa sehemu moja atahamishwa kwengine au kurudishwa makao yao makuu. Hawana cha kuhofia sasa maigizo ya nini????
 
Uko nchi gani mkuu ?
 
Back
Top Bottom