Shaka: CCM itashirikiana na kila mwenye nia njema Juu ya TANZANIA na Watanzania

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,984
4,083
IMG-20220929-WA0181.jpg

SHAKA AWAHAKIKISHIA WADAU KUWA CCM ITASHIRIKIANA NA KILA MWENYE NIA NJEMA KWA MAENDELEO YA TANZANIA NA WATANZANIA

Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Mkoa wa Dodoma (DWJ) jana tarehe 28 Septemba, 2022 walimtembelea Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ofisini kwake Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha, kueleza kazi wanazozifanya na kuomba ushirikiano.

Shaka aliwahakikishia CCM wakati wote ipo tayari kushirikiana na yeyote au kikundi chochote chenye nia njema ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kuharakisha maendeleo ya nchi yetu na watanzania kwa ujumla. Aidha aliwapongeza DWJ kwa kujiunga katika umoja na kufanya kazi za kurejesha kwa jamii huku akiwapa shime ya kutumia kalamu na taaluma zao kueleza mafanikio ya utendaji wa serikali ya CCM Awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

"Nawapongeza kwa kujiunga katika umoja wenu pamoja na kazi mnazozifanya za kugusa maisha ya jamii hususani watu walio katika mazingira magumu kama vile mayatima, wagonjwa, wahitaji wengine pamoja na uhifadhi wa mazingira. Nawahakikishia CCM tutawaunga mkono. Ombi langu kwenu pamoja na kazi nzuri ya uandishi wa habari mnayoifanya nawaomba andikeni kuhusu kazi kubwa na nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ili jamii ijue nini serikali yao inafanya na kuwanyima fursa wapotoshaji kupata himaya kwenye jamii yetu." Alisema Shaka

Shaka alisisitiza kwamba ni vyema jamii yetu ikaunga mkono watu au vikundi vinavyojitoa kuunga mkono juhudi za serikali za kuharakisha maendeleo na kutoa huduma kwa jamii ili kuwatia moyo lakini pia ikiwa ni sadaka.

Kwa sasa DWJ inawahudumia wanafunzi watano wa kidato cha 5 na sita, inahudumia mwanamke mmoja mtu mzima mwenye tatizo la mifupa aliyelazwa taasisi ya mifupa Muhimbili (MOI) na wanatekeleza programu ya upandaji miti jiji la Dodoma.
 
View attachment 2371979

Yes, Chama Kama ACT mnaweza Kufanya jambo nao
 
SHAKA sisi tunakuelewa Sana,Chondechonde CHADEMA no,
 
TANZANIA ni salama sana tu,Kila mtu na afanye kazi kwa bidii
 
Tozo na kupanda gharama za maisha kumepunguza uwezo wa watanzania wengi kufikiri. Wasilisha hayo mawazo kwa Shaka.
 
CHADEMA Nyie mmejifia kama hamuamini Njoo huku mtaani

Mtaa upi, au hujui hata huku mitandaoni ni mtaani lakini wa kidigitali? Au kwakuwa huko mtaani watu wanaogopa kuongea kwa ajili ya usalama wao? Hao CDM wakianza si ndio mnaishia kutumia mbeleko yenu ya vyombo vya dola kuwabambikia kesi, na kuhujumu shughuli zao za kuwaingizia vipato?

Na huyo aliyekuambia kama CDM ikifa ndio CCM inakuwa bora ni nani? Au ili CCM iwe bora ni lazima CDM ife?! Ni sawa na Yanga kutaka simba ife, ili yenyewe ndio ionekane bora. Huu ujinga unapatikana kwenu tu chama cha majizi ya kura.
 
CHADEMA acheni kujifariji chama huku mtaani hakipo kabisa mzee Tindo
 
View attachment 2371979
SHAKA AWAHAKIKISHIA WADAU KUWA CCM ITASHIRIKIANA NA KILA MWENYE NIA NJEMA KWA MAENDELEO YA TANZANIA NA WATANZANIA

Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Mkoa wa Dodoma (DWJ) jana tarehe 28 Septemba, 2022 walimtembelea Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ofisini kwake Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha, kueleza kazi wanazozifanya na kuomba ushirikiano.

Shaka aliwahakikishia CCM wakati wote ipo tayari kushirikiana na yeyote au kikundi chochote chenye nia njema ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kuharakisha maendeleo ya nchi yetu na watanzania kwa ujumla. Aidha aliwapongeza DWJ kwa kujiunga katika umoja na kufanya kazi za kurejesha kwa jamii huku akiwapa shime ya kutumia kalamu na taaluma zao kueleza mafanikio ya utendaji wa serikali ya CCM Awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

"Nawapongeza kwa kujiunga katika umoja wenu pamoja na kazi mnazozifanya za kugusa maisha ya jamii hususani watu walio katika mazingira magumu kama vile mayatima, wagonjwa, wahitaji wengine pamoja na uhifadhi wa mazingira. Nawahakikishia CCM tutawaunga mkono. Ombi langu kwenu pamoja na kazi nzuri ya uandishi wa habari mnayoifanya nawaomba andikeni kuhusu kazi kubwa na nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ili jamii ijue nini serikali yao inafanya na kuwanyima fursa wapotoshaji kupata himaya kwenye jamii yetu." Alisema Shaka

Shaka alisisitiza kwamba ni vyema jamii yetu ikaunga mkono watu au vikundi vinavyojitoa kuunga mkono juhudi za serikali za kuharakisha maendeleo na kutoa huduma kwa jamii ili kuwatia moyo lakini pia ikiwa ni sadaka.

Kwa sasa DWJ inawahudumia wanafunzi watano wa kidato cha 5 na sita, inahudumia mwanamke mmoja mtu mzima mwenye tatizo la mifupa aliyelazwa taasisi ya mifupa Muhimbili (MOI) na wanatekeleza programu ya upandaji miti jiji la Dodoma.
Kiongozi mnyenyekevu Sana huyu, Mungu ampe hitaji la moyo wake
 
CHADEMA acheni kujifariji chama huku mtaani hakipo kabisa mzee Tindo

Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm CDM ife. Huko mtaani CDM wanaruhusiwa kuonekana, mbona tunasikia kila safari za viongozi wa CCM bendera zao zinaondolewa?

Mwanafunzi mjinga hutaka wenye akili waondolewe kufanya mtihani ili yeye awe wa kwanza, na sio kufaulu. CCM kuzuia vyama vingine kufanya siasa za kukutana na watu , huku yenyewe ikishirutisha kubaki, haimaanishi kuwa CCM ni chama bora, labda kwa mjinga tu.
 
Back
Top Bottom