Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.
Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia...
GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo.
'Owner Chair' Taifa...
Na Innocent Mungy, Bucharest
Tanzania imechaguliwa miongoni mwa nchi 48 kati ya nchi 193 wanachama wa ITU kuwa katika Baraza la Shirika la Mawasiliano duniani - International Telecommunication...
Habari ,Wanajamvi nadhani mmeona kuna kipande cha video kinazunguka mitandaoni kikimuonesha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Tulia Aksoni akiwaambia vijana wa Mbeya na vijana...
Bilionea Mbowe , ambaye pia ni Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Tajiri aliyejitolea kusaidia Watanzania kupitia Siasa , Amewasili Katika Jiji la...
Wengi tumejiuliza kilichomsibu balozi Mulamula. Ukisikiliza kwa makini hutuba ya Rais Samia utujua kuwa Waziri Mulamula alipishana na Rais kuhusu masuala ya upande wa pili wa Muungano...
Kama tunavyofahamu chama makini CCM kipo kwenye uchaguzi wa viongozi nchi nzima. Mbowe amechaguliwa kwa kishindo kuwa mwenyekiti Mpya wa CCM Ubungo.
Ni kiongozi mzuri na atafanya vizuri ubungo...
Hili Mulamula, I guess and I say I guess lilimshinda na limemuondoa. Nilikuwa simsikii akipaza sauti za uchawa wa kusifu na kusifia mamlaka ya uteuzi wake.
Nasema inawezekana hili limemuondoa...
Hivi unajua watu wanavyoliowa areas zao kwa mafungu? Yaani unatusababishia watu waanze kujihusisha na rushwa, unakuta kituo kimoja cha kazi mtu analipwa mapunjo ya mshahara wengine wanaachwa na...
Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema wakati mwingine huwa vigumu kupima uhalisia wa malalamiko ya wananchi kwa sababu hulalamika bila kumaanisha
Kwa mfano wanalalamikia Bei ya mafuta wakati...
Mabadiliko madogo yaliyofanywa na Rais SAMIA SULUHU HASSAN katika Baraza la Mawaziri yanapaswa kupongezwa kwa kuwa yanalenga kuleta matokeo chanya kwa Taifa hususan katika: Kuendelea kuimarisha...
Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa.
Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo...
Hii ni sawa wajameni? si alitakiwa aapishwe bungeni kuwa mbunge kwanza ndipo aape kuwa waziri/ au kuna shortcut?
Yaani kwa wenzetu kenya hata mawaziri, IGP etc wakichaguliwa na RAIS wanatakiwa...
Habari Wakuu
Binafsi naona nchi ile iliacha kupata viongozi kwa maana sifa za Uongozi mwaka 2015
Waliofatia wote,kila mtu anajionea. Wamekuwa wakali, hawana uvumilivu, hawana subira,hawataki...
Kwa wale ambao wamekuwa wakitembelea Balozi zetu nje watabaini wazi kwamba muundo wa kiutumishi kwenye balozi zetu zote Duniani umejengwa kidiplomasia na tafsiri ya watendaji wa Wizara ni kwamba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 03 Oktoba, 2022
Nawapongeza kwa walio hapa. Mhe. Angela siyo mgeni...
Kamati ya Wataalamu wa Umoja wa Afrika kuhusu Haki na Ustawi wa Mtoto (ACERWC) imeitaka Serikali kupitia upya sera zinazokandamiza haki ya wasichana kupata elimu ikiwa ni pamoja na kuzuia...