Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa wafuatiliaji mtakubaliana na mimi kuwa kauli ya Rostam imezua mijadala sehemu mbali mbali. Kauli yake ni moja ya issue sensitive zinazotugusa sisi masikini. Tanzania si kisiwa , ni kati...
2 Reactions
9 Replies
772 Views
Bodi ya Sukari nchini Tanzania imesema jitihada zinazofanyika za upanuzi na uanzishaji wa viwanda vya uzalishaji wa sukari, vitawezesha kufikia tani 756,000 ifikapo mwaka 2025 hivyo kuondokana na...
0 Reactions
5 Replies
623 Views
Rais Magufuli alirithi nchi yenye mzunguko wa pesa imara na Ukuaji ulioimarika toka kwa Jakaya Kikwete, Uchumi wa Jakaya Kikwete wa kuajiri maelfu ya watu kila mwaka, na kulipa malimbikizo...
23 Reactions
164 Replies
9K Views
VURUGU ZA HAI, KUCHOMWA MOTO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA NA UASI ULIOBALEHE NA KUKOMAA NDANI YA CHADEMA Leo 12:15hrs 15/08/2020 Mwaka 2015 Lissu alisoma mashtaka ya kumfukuza CHADEMA aliyekuwa Naibu...
3 Reactions
68 Replies
7K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kimewataka makatibu wa chama hicho kuanzia ngazi ya tawi hadi mkoa kuhakikisha wanasimamia vizuri mali za chama ili kukifanya chama hicho kuwa na maendeleo...
1 Reactions
3 Replies
960 Views
Makamba! Muunge mkono Waziri Mwenzio Biteko na "Mkaa wa Mawe" badala ya Rostam na "Taifa Gas" Hapo chini ni taarifa ya serikali![emoji116] 11,Aug,2022. "Dkt. Biteko amesema STAMICO imeagiza...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
BUNGE LA WANANCHI: KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)! “Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa” I...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
CCM ni Chama kinachoamini Katika utu wa Mtu Moja ya Imani ya CCM ni " Binadamu wote ni Sawa kila mtu anastahili haki ya Kutambuliwa na Kuthaminiwa UTU wake" Rais Ruto amemtia ndani mkuu wa...
12 Reactions
66 Replies
5K Views
Waziri Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni ametoa agizo hilo baada ya kumalizika muda aliotoa kwa wamiliki wa Mabasi kufunga vifaa vya Mfumo wa Kufuatilia Gari (VTS) au GPS Tracker...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
2020 hayati Magufuli alimshauri Tundu Antipas Lissu ajitoe kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu wananchi hawamkubali na kwamba atamteua kumsaidia majukumu mengine lakin " Ni Yeye" akakataa...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Chalamila anaropoka ambayo ametumwa. Haya mambo tunaomba sana. Mwacheni Rais jamani. Huyu ataendelea kuwepo mpaka 2030 so mnaoanza kutaka kufanya mchakato komeni kabisa. Chalamila anatumika...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi sio muumini wa ubaguzi wa Rangi, kabila wara elimu na vingine vingi. Ila sijawai kubaliana na mfano Muhindi kuwa mbunge wa morogoro maana hawanaga wanachofanya,ila lazima tukubaliane yakuwa...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Tume za Uchaguzi za nchi za Maziwa makuu zakutana Tanzania kujifunza namna bora ya kuendesha Chaguzi Ikumbukwe NEC huendesha Chaguzi kwa Uwazi na Uhuru Chanzo: Star tv
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Wananchi wajipange na kununua majenereta. Wasio na uwezo wa majenereta wanunue taa za kandiri na koroboi. Wenye pesa za uhakika wanunue Solar power. This is too much.
2 Reactions
7 Replies
753 Views
Tazameni jinsi mwendazake ambavyo hakutaka kuambiwa ukweli. Hii tabia iliwageuza wateuliwa kuwa ni watu wa ndiyo mzee tu.
10 Reactions
101 Replies
4K Views
Ukiwa Mgeni na SIASA za TANGANYIKA ukisoma Mitandao ya Kijamii ukianzia Facebook Instagram Twita na Jamii Forum Neno au Habari zinazoihusu CHADEMA Zimetawala kwa kiasi kukubwa zaidi ya CCM...
4 Reactions
9 Replies
544 Views
Mheshimiwa Membe nashindwa kuamini kuwa wewe ni mwanaintelejensia makini. Intelligence maana yake ni uwezo wa kuona mbali zaidi ya wengine that's why hata hapa Tanzania ndege anayeona mbali...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi nini Watanzania hujiita Watanganyikwa wakati ukweli ni kwamba hawakuwa raia wa Tanganyika? Wahindi na Waarabu ndio waliokuwa citizens wa nchi ya Tanganyika. Mtu mweusi amepata citizenship...
0 Reactions
13 Replies
953 Views
Itifaki imezingatiwa.. Wakatu Waziri wa Nishati, January Makamba Akiandaa Kongamano la kujadili policy intervention ya kuwa na Nishati Salama ya kupikia ili kuokoa vifo vya Wanamama na watoto...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Hakuna ubishi kwamba utendaji kazi uliotukuta wa Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan umewafanya Wapinzani wengi kuona kile walichokuwa wanakipigania kwa miaka mingi ndicho...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…