Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa - Msalato, Dodoma leo tarehe 30 Oktoba, 2022
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema CCM inapongeza kwa dhati Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM kwa kuandika historia kwa taifa...
Mnadhania pesa alizochanga Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi haikuwa mali ya umma?
Mnadhania michango mliyokusanya kwa zaidi ya miaka 30 sio mali ya umma?
Kwa nini msitumie vyema mali ya umma...
Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu.
Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali.
Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa...
Shirika la Umeme Tanzania limetangaza kufanya matengenezo hayo kwenye Kanzi Data ya Mfumo wa manunuzi ya Umeme (LUKU) ili kuongeza ufanisi.
Matengenezo hayo yatachukua siku 4 kuanzia Jumatatu...
Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi.
Sasa hii ya watumishi...
Kama heading. Kama tunavyojua kupitia katiba; makamu wa rais ni mshauri mkuu wa rais. Hapa kunakuwa na collective responsibility yaani uwajibakaji wa pamoja.
Sasa najiuliza
1. Walikubaliana...
Kama ni rahisi nenda wewe pale Mlimani au Udom au hata Kule Taasisi ya Mzumbe ukachukue Hiyo PhD ya mchongo
Ufipa st wamekuwa Wapiga kelele kwa sababu wao ni wavivu wa kujielimisha...
Katika kauli Yako mh Zitto Kabwe kwamba ubora huanzia kwenye Chama kabla ya kukabidhiwa nchi, nakuunga mkono.
Nafahamu hata TANU ilizaliwa pale Mwananyamala nyumbani kwa mzee Mwinjuma japo...
“Tangu asubuhi nimeamka taswira ya maalimu Seif inanijia na natamani leo angekuwepo hapa katika uzinduzi huu na naamini huko aliko anatabasamu na mwenyezimungu aendeleee kumuweka mahala pema...
Serikali inaogopa unganiko la watanzania kupitia mitandao ya kijamii!
Serikali haipendezwi na ukosoaji mkubwa inaoupata kupitia Mitandao ya kijamii!
Je, "Internet"nayo inaagizwa kutoka Ukraine...
WAKUU
Nianze KWA kunukuu
"Kule kwenye miradi ya maendeleo waliachiwa wanasiasa"
Hii ni kauli ya mwandishi ninaye mhusudu Sana HAPA jukwaani,kwamba miradi mingi Sana HAPA nchini inasimamiwa na...
Mwaka mmoja uliopita agizo la kuwapanga Machinga lilitolewa. Mwaka mmoja baadaye soko la kisasa Dodoma limekamilika limegharimu Tsh Bilioni 9 na sasa limeanza kutumika.
Lengo la soko hilo ni...
Hakuna shaka kuzinduliwa kwa jengo la ofisi ya ACT kumewauma sana viongozi wa Chadema, Wanachama na Wapenzi wa Chadema.
Toka kutangazwa kuzinduliwa kwa jengo la ofisi ya ACT viongozi na Wanachama...
Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla
Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la mwingi kwenu
Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ...
Baraza la Mawaziri 1963
Julius K. Nyerere 41 years old,
President of Republic of Tanganyika
Rashidi Mfaume Kawawa, 34 yrs
Vice-President
Sheikh Amri Abedi Kaluta, 39 yrs
Minister of Justice...
Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT).
Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake...
Ndio kwanza kumekucha kwenye miaka mitano ya kikatiba bado nina miaka yangu mitatu kamili.
Mlilia nchi imefungwa mtangulizi wangu ameua utalii, mazao hayatoki ndani bei inawaumiza wakulima, sasa...
Wakuu kwema?
Kila nikiangalia sura ya Rais wa Kongo, mheshimiwa Tshisekedi naona anahitaji msaada wa kila namna juu ya vituko vinavyofanywa na waasi wa M23 pale nchini Kongo. Inaonekana wao kama...