.. mbona unauliza mambo yaliyo wazi? Mwl. Nyerere anasema; ili tuendelee mahitaji makuu ni manne tu;Je unafikiri nini chanzo cha umaskini africa?
Kosa la Mungu kuwaumba waafrika!😀😀😀😀😀Je unafikiri nini chanzo cha umaskini africa?
Akili ipi hiyo inayohitajika ambayo sisi hatuna?Waafrika hatuna akili. Msitoe povu.
1. Viongozi wabovu.Je unafikiri nini chanzo cha umaskini africa?
Selfishness. !!Je unafikiri nini chanzo cha umaskini africa?
Kwahiyo unataka kusema mzungu hata akizaliwa afrika na kukulia afrika bado atakuwa na ubora kama wazungu wengine?Waafrika Mungu kawapa akili ila hakuwaonyesha jinsi ya kuitumia. Wazungu aliwaonyesha kidogo ndio maana wapo juu kimaendeleo. Wakafanikiwa mpaka kutuletea imani zao tukabaki kuitikia "ndio Mzee" imani yako ni ya kijinga, "ndio Mzee".
Waarabu ambao wenzetu matajiri wana hivyo vitu pia?.internal conflicts
.poor education system
.food insecurity
.lack of democracy .poor leadership
.lack of good government policies
.tribalism and religionism
.lack of technology
Ngozi nyeupe hata hapa Tanzania hali zao za maisha ni nzuri kuliko sisi na wao ndio wameshika dini kuliko sisi.Dini hasa za waarabu.
Uvivu
Wivu
Elimu mbovu
Lishe duni
Siasa za hovyo
Kodi kandamizi.
#MaendeleoHayanaChama