Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwaarifu viongozi, wanachama, na umma wa Watanzania juu ya hali ya hatari inayojitokeza kwa kasi dhidi ya vyama vya siasa vinavyopigania...
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba akiwasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2025/2026 "Nisisitize tena, Serikali chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya...
Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao...
1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation
2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake
3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake
My take: hilo nililitegemea and that is...
Bob Marley aliwahi kuimba maneno yafuatayo:
"Yule apiganae na kukimbia, aweza kuishi na kupigana Tena siku nyingine"
Chadema mumepigana kishujaa na kila mtanzania amejionea.
Vita hii kwa hakika...
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof Kitila Mkumbo akizungumza leo Juni 12,2025 akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa...
Wakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya...
Heee!!
Jamaa yupo serious kabisa akifoka kuhusu ubwabwa, hivi haoni wala kujiuliza mifumo na watu wanaosababisha huo ubwabwa kukosekana kwa wanannchi? Wakuu wa JF inabidi tumfumbue macho kwa
===...
Diwani wa Kata ya Swaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Shaban Saleh Nduta, ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 11 Juni 2025, akitoka Chama cha Demokrasia na...
DEBORA TLUWAY: HATUSITISHI UCHAGUZI OKTOBA LAZIMA TUTIKI
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea...
Shauku ya vijana wengi waliofikisha umri wa miaka 18 hivi sasa nchini ni kuandika historia ya kua nao wanashiriki kwa mara ya kwanza kuandika historia ya kuamua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa na kuzuiwa kutokana na siasa zao, akisisitiza kuwa Chama Cha...
wakuu
Ivi karibuni kumekuwa na mikutano ya vyama siasa ila sijasikia kuhusu mazingira?
Hawa akina Heche,Makala,wasira na Lema wanaosema kuhusu ajira,elimu,na barabara na afya wanajua chochote...
Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda...
Wakuu,
Nilikuwa napitia hii ilani ya CCM ambayo waliizindua huko Dodoma hivi karibuni.
"Kuimarisha ulinzi wa Bahari dhidi ya matumizi yasiyosahihi na usalama wa nchi kwa kufunga rada tano (5)...
My friends ladies, and gentlemen..
Ni wazi,
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa zaidi ya 95% chini ya serikali sikivu ya CCM inayo ongozwa na rais kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia...
My Take
Safi sana Wasira unajua sana kuwakera 😂😂👇👇
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, leo Juni 11, akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Nyasa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile kisa uchaguzi mkuu mwa mwaka 2025 huku akiwahimiza kumuunga mkono Rais...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.