SHAKA ANAANZA KWA KUSEMA KUWA, RAIS SAMIA NI KIOO KINACHOAKISI THAMANI YA TANZANIA NA WATANZANIA,
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema...
Waziri Byabato: "tumelazimika kuleta wakandrasi wenye gharama kubwa ili kurekebisha hitilafu kwenye mitambo ya Gesi ya Kinyerezi"
Baada ya Mvua kunyesha, wamebadili visingizio?
Bado CCM mnazidi...
Nilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka.
Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi...
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano...
Bila kuwa na maneno mengi naomba kuwauliza vijana wa ccm waliopo DODOMA kwenye matukio muhimu ya chama chao na hicho kinachoitwa Green Marathon maswali yafuatayo.
1. Leo UVCCM wanainjoi na...
Kila kunapokuwa na jambo ka moto mara zote CCM huja na vijambo Ili kuwatoa wananchi kwenye umakini. Wote tunajua kuwa moja, kuna mgao mkali sana wa umeme ambao hata haueleweki, kuna mgao wa maji...
Nchi yetu pendwa, kipenzi cha nchi nyingi duniani, kilimbilio la watu wote waliokua wakikandamizwa kwenye nchi zao hakuwahi kutawaliwa na Rais wa ajabu kama Magufuli.
Rais ambaye hakuwapenda raia...
PONGEZI UVCCM WILAYA - SALAMU ZA PONGEZI KWA WASHINDI NA WASHIRIKI WOTE KATIKA UCHAGUZI NGAZI YA UVCCM WILAYA
Na Komredi, Ndugu Victoria Charles Mwanziva: Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na...
Waziri wa zamani wa Mali Asili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangallah kupitia Twitter ameonesha wasiwasi juu ya Ubora wa Mabehewa ya Treni za SGR ambayo picha zake zimeonekana zikisambaa mitandaoni na...
Ndugu Zangu Rais Samia Ameonyesha yeye Ni kiongozi shupavu sana, Asiye yumbishwa Wala kupelekeshwa na maneno maneno, Nikiongozi asiye fanya maamuzi pasipo kufanya uchunguzi wa kina, kiutafiti na...
Nikiangalia hili baraza la mawaziri, by all standards haliakisi sura ya Taifa na kwa hiyo halisaidii kwa namna yoyote kuimarisha umoja wa Kitaifa.
1. Hivi inawezekana vipi uje na baraza la...
Inafurahisha kuona nchi tuliyompeleka kijana wetu Mzalendo Komredi Polepole kwa sasa ndio kinara wa kupambana na rushwa na ufisadi barani Africa
Makamu wa Rais wa Malawi amekamatwa kwa Rushwa na...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu iliahidi kumuinua mwananchi kiuchumi na sasa imekuja na punguza ya riba ya mikopo ya mtu binafsi
Benki Kuu ya Tanzania imetangaza...
CHADEMA wapo bize na mambo yao, lakini kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea hivi sasa, wagombea lukuki wa CCM wanapoomba kuchaguliwa, hoja yao kubwa ni kuonesha kwamba wao wana uwezo wa kupambana...
Simjui Jina ila nakumbuka alikuwa Engineer na mkuu wa mkoa Geita, mfuasi wa jamaa mmoja tajiri na mchungaji Nigeria, Mzee Oyadepo wa winners chapel nadhani.
Jamaa alikuwa anaongea mambo ya...
Sababu hakuna mfumo ambao ni asilimia 100 na mifumo yote ni mchanganyiko tofauti tofauti napenda kujua watanzania wanapenda mfumo gani na mfumo upi unaweza kuwafaa?
Ubepari?
Market socialism...
Koote! CCM!,CDM,NCCR,ACT..
Kukomoana,Kuviziana,Kuhujumiana nk!
Imekuwa ndio Fasheni Mpya ya siasa!
Wamewasahau kuwapigania wapiga "KURA",sasa Wanapigania "KULA" zao binafsi!
Kwa mfano hai...
Kampuni tanzu kampuni ya Eurowagon kutoka uturuki iliyopewa tenda hayat John Pombe Magufuli kutengeneza reli na mabewa iliondolewa na kuletwa kampuni kutoka China Korea kusini ambazo zimeleta...