Wasalaam JF,
Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa...
CCM oyee!
Zidumu fikra za mwenyekiti Magufuli
Bashiru Ally aliteuliwa na mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli, hamkupiga ktk kikao chochote zaidi ya kumpongeza huku KIgwangalah ukijua kuwa Bashiru ni...
Ndugu zangu kwa Sasa Hali ya umeme inarejea katika Hali yake ya kawaida,kwa Sasa shughuli za kiuchumi zinazotegemea umeme zinakwenda vyema, Mioyo ya wananchi wajasiriamali na wafanyabiashara...
Mbowe kasema ukweli. Je tufanyaje ili kuwa na viongozi watendaji, wabunifu na wasio wala rushwa.
Pamoja na katiba mpya tujiulize je utamaduni ni tatizo, je elimu yetu ni tatizo. Kwanini makabila...
Tangu akiwa Waziri Magufuli alifahamika kama mtu mkurupukaji mwenye kufanya maamuzi ya pupa kwa hasira na kukomoa.
Hii sio iliumiza watu wengi tu bali pia kuitia hasara serikali pale ambapo...
Tetesi kutoka ndani ya familia ya Nape na mfadhili wake atakaye msomesha nchini marekani kwa miaka kadhaa hapo mwaka 2021 amethibitisha kwamba Nape kwa kinywa chake kasema kwamba ataachana na...
Ushauri wangu kwa Serikali pelekeni haraka sana mchakato wa kubinafsisha Bandari pamoja na mradi wa mwendokasi. Hali ni mbaya sana, Serikali inagawana mapato na wafanyakazi pasu kwa pasu tena...
Kwa mfano Katiba ndio inaruhusu Watendaji wakuu wa Tume ya Uchaguzi wateuliwe na Rais
Katiba ndio inaruhusu Wakurugenzi wa Halmashauri kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi
Katiba ndio inaruhusu "...
Kuna taarifa naiona kwamba IPTL imewasha mitambo na ishazalisha umeme na kuingiza TANESCO, huu ndiyo uhaba uliyokuwa unatengenezwa watu wapige pesa.
Hii migao ni ya kutengeneza watu wapige pesa...
Wakuu,
Huenda Kabendera akawa huru leo baada ya Hati ya Mashtaka kufanyiwa marekebisho.
Baada ya Erick Kabendera kukubali makosa, Upande wa Serikali wamemsomea Mashtaka Rasmi.
Mashtaka hayo ni...
Mara baada ya kuachiwa huru kutoka jela mwandishi wa habari za uchunguzi Eric Kabendera baada ya kulipa faini na fidia ya jumla ya Shs 273 milioni, Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za...
Mama tokea tarehe 28.11 haujapata hata lepe la usingizi mpaka leo.
Moja ya 'wisemen' wa rais alimtonya mama akamwambia, "hivi mama unajua kuwa hilo daraja la Kibiti ungeamua kujenga madarasa basi...
Habari za Jumapili wananchi wenzangu, nimekuwa nikijiuliza maana halisi ya uzalendo.
Tumekuwa tukisikia viongozi mbalimbali wakisisitiza wananchi kuwa wazalendo, na wakati mwingine wakilalamikia...
Miongoni mwa mambo ambayo raia wengi huogopa kuyazungumzia kiundani ni mfumo wa saisa yetu.
Wengi wao hudhani siasa ni kwa ajili ya watu fulani walio maalumu na inawahusu hao tu.
Ndio maana...
...Naam Jakaya sasa anakuwa na Phd karibia ya 5+ baada ya kulamba nyingine leo kwenye mahafali ya Mandela Institute of Technology. Na ametajwa kama mwanazuoni bora kwenye masuala ya sayansi...
Anaandika; Robert Heriel.
Moja ya Visa maarufu kwenye Magombo ya kale ya Kiyahudi ni pamoja na Kisa cha Nabii mdogo aitwaye Yona. Kwa Waislam hujulikana kama Nabii Yunus.
Kwa faida ya wasiomjua...
Nimesikiliza hotuba ya mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Heche akiwa mikoa ya Kusini mwa Tanzania kiukweli naogopa hata kuweka hapa nitaonekana kama mchochezi
Cha ajabu Wananchi walikuwa...