Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu. Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini. Prof, hakikisha kila shule...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka. Rais Samia amekua...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwaka 2015 watia nia ya urais kupitia CCM Mwigulu Nchemba na Januari Makamba walikuwa na timu kubwa sana za vijana wa kuwashangilia mitandaoni ili kuuhadaa umma kwamba ni viongozi wanaokubalika...
2 Reactions
10 Replies
925 Views
Kudai haki, demokrasia, mabadiliko nk kwa njia za amani siyo kosa kokote kule duniani. Zaidi sana Chadema mmekuwa mkidai kuheshimiwa kwa katiba ya nchi iliyopo. Kwenye madai hayo mkakubali hadi...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Ukiangalia mwenendo wa hawa mawaziri wawili ambao wako sehemu nyeti wanavyo peleka mambo muhimu hovyo na mheshimiwa Rais amejenga imani nao kubwa, nahofia taifa linaangamia na kuna siku litakuwa...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Mwaka 2022 unakabiria kufikia ukingoni, tufanye tathmini ya matukio ya kisiasa yaliyotikisa mwaka 2022 ambayo yaliingia kwenye mjadala mkubwa wa kitaifa. 1. Tukio la Spika wa Bunge, Job Ndugai...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa...
21 Reactions
81 Replies
9K Views
Dr. Wilbrod Slaa amesema CHADEMA ndiyo kinara wa kuongoza katiba mpya kwani ipo frontline na imejibainisha kubeba agenda hii ya muhimu kuliko vyama vyote vilivyosajiliwa Tanzania. Dr. W. Slaa...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Tunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao. Toka...
39 Reactions
114 Replies
5K Views
Kuna wanasiasa ambao walikuwa mabingwa wa kutetea chama na viongozi wao hapa JF kwa masaa 24/7, yaani hata uanzishe thread ya kukosoa CCM saa 7 usiku baada ya dakika tatu utaona umejibiwa. Leo...
0 Reactions
5 Replies
520 Views
Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kukifanya kilimo kuwa biashara upatikanaji wa masoko ya kuuza mazao nje ya nchi umeongezeka. Mauzo ya mazao ya mchele yameongezeka kutoka Tan 184,521...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
WanaJf, SALAAM! Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK 1. Kigoma...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Wanabodi, Jana nimetokea kukutana mahali na Dr. Harison Mwakyembe just by chance na kuongea nae briefly, not kuzungumza nae, but kuongea!, (kuzungumza ni more formal, kuongea ni informal...
48 Reactions
149 Replies
26K Views
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ya reli ya kisasa ya SGR, ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere na barabara za mwendokasi kutoka...
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa. Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu...
18 Reactions
133 Replies
10K Views
Si Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi. Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Matokeo ya mkutano Uchaguzi wa NEC-CCM,umetoa funzo kubwa!Rais Samia ameliona hilo,ndio sababu ya kwenda kulivunja Baraza lake la Mawaziri! JPM amewatisha walioko Hai, na Wakiwa Madarakani...
38 Reactions
215 Replies
12K Views
Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa. Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote. Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania...
28 Reactions
57 Replies
6K Views
Naibu waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesema kuwa Balozi zinatafuta fursa za ajira kwa kuingia mikataba ya ajira nje ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za asubuhi Wana JF, Mimi ni Mtanzania wa kawaida na kila siku nipo kwenye mizunguko yangu ya kawaida na wadau wangu wapiga debe, mamantilie, machinga, waosha magari na day workers na...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…