Lengo la kuanzisha Mfumo wa vyama vingi vya Siasa halikuwa kuleta utengano wa kiitikadi bali kuimarisha mshikamano katika kujiletea Maendeleo kama Taifa
Lakini Kuanzia mwaka huo 1992 Vyama...
Labda ni tatizo la uelewa tu linalotugawa
Mtumba ni kitu kilichotumika halafu unauziwa hivyo hivyo ili ukimalizie mfano yale Magari ya Zimamoto yaliyolalamikiwa na Wabunge
Reconditioned ni...
Wazanzibar,
Sisi ndugu zenu watanganyika tunapenda muendelee na harakati za kuuvunja muungano yaani huu muungano mlikuwa mnasema ni koti limewabana mnaonaje sasa tuuvunjilie mbali muungano...
Kwanza kabisa siungi mkono utaratibu wa kukatana kwa kusafirisha mzigo ni utaratibu mgumu sana.
Huu ni mkopo pia lakini usioeleweka kabisa, maana marejesho ni kukatana kwenye mizigo utafikiria...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema waliochanjwa chanjo ya Uviko-19 mwaka mmoja au miaka miwili iliyopita hawataruhusiwa kwenda hijja hadi watakaporudia kuchanja chanjo hiyo.
Kauli...
Tume ya Madini Tanzania imeiruhusu kampuni ya Acacia kuendelea na utaratibu wa kusafirisha dhahabu baada ya kuzuiliwa kwa takribani mwezi mmoja. Taarifa iliyotolewa na Acacia inaeleza sasa...
Taarifa muhimu kuhusu Mradi wa JNHPP zimeshindwa kuwekwa wazi licha ya kutambua kuwa Mradi huu ni wa watanzania na wala sio mali binafsi ya familia ya 'Watu wazuri hawafi"
Ni sababu zipi...
Ndugu zangu,
Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake...
Mods Msitoe huu Uzi.
Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe...
1. Ndie anaeamua ulipwe kiasi gani.
2. Ndie anayebutua mkataba wako wa ajira Kama ilikuwa ya kudumu inakuwa on temporary basis.
3. Ndie anayeweza kuamua uongezwe makato au uongezewe Kodi kwenye...
Yusuph Makamba anaweza kuwa ameleta UFA mkubwa sana Serikalini na kwenye chama kwa kauli zake za chuki dhidi ya Hayati Magufuli.
Alijua anamfurahisha mama kumbe anamgombanisha na watu. Mama Samia...
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa...
Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu.
Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu...
MHESHIMIWA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
MJI WA SERIKALI MITUMBA,
S.L.P. 2908, 40477 – DODOMA
Ndugu,
YAH: MGOGORO WA ARDHI KATI YA KANISA KATOLIKI JIMBO LA KIGOMA NA CHAMA CHA...
Data za mwisho wa mwaka wa 2021 ziki onesha viwango vya kinishati ya umene Tanzania pamoja na mataifa mengine walicho zalisha kwa mwaka.
Data hizo zili tawaliwa kwa taifa la China kwa kuongoza...
Kila mwaka wakati wa sikukuu hasa za mwisho wa mwaka LATRA huongeza usimamizi kwa mabasi ya kusafirisha abiria ikihusisha usimamizi wa nauli halali. Hiki kipandi ni cha chini ya wiki tatu kati ya...
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile amesema yuko tayari kufa lakini hatoacha kuendesha mapambano ya kulinda Mto Ruaha dhidi ya wakulima na wafugaji walioko kwenye eneo hilo.
Balile...
Mataifa yalioendelea zamani ya huko Ulaya Magharibi, Marekani na China walikuwa wanakopa wapi kujenga miradi ya miundominu yao na kutoa huduma za umma kwa raia wake?
Hayo mataifa wao waliwezaje...
Haiwezekani nchi ambayo Mungu ameipa rasilimali nyingi kiasi hiki lakini wananchi wake ni maskini.
Tanzania ina
1. Ardhi nzuri
2. Madini
3. Gas
4. Misitu
5. Mito na Mabwawa
6. Mbuga za Wanyama...