johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Lengo la kuanzisha Mfumo wa vyama vingi vya Siasa halikuwa kuleta utengano wa kiitikadi bali kuimarisha mshikamano katika kujiletea Maendeleo kama Taifa
Lakini Kuanzia mwaka huo 1992 Vyama vigeni vikajipa unyonge na kujiita Vyama vya Upinzani bila kusema wanapinga nini na ndipo CCM nao wanajiita Chama Tawala badala ya Chama Ongozi
So kwa takribani miaka 29 palijengeka Upinzani wa kivyama, kuhasimiana na hata kunyang'anyana Wabunge na Viongozi mashuhuri mfano Wazee Lowasa, Membe na Sumaye
Lakini mwaka huu 2022 Rais Samia amevikaribisha Vyama vyote tujenge nchi kwa kuelewana na kushirikiana kupitia Kikosi kazi cha Katiba Mpya na Maridhiano ya Vyama vyote
Kwa sasa Vyama vyote viko pamoja na hili ni Jambo la kumpongeza sana Rais Samia kwa uthubutu na utayari wake wa kukaa Pamoja na vyama vyote vya Siasa
Merry Christmas