MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania...
Mwenyekiti wa Chadema amebarikiwa Kitu kimoja kikubwa ambacho Viongozi wengi hawana yaani uwezo wa kufanya Siasa za Kiuongozi.
Mtu anayefanya siasa za Uongozi huangalia zaidi maslahi ya Wengi...
Habari ya Leo wadau..
SoMo la Tozo limeanza kuwafikia Nchi Nyingi na Sasa zinaelewa..
Ghana ilijifunza Tanzania na Sasa Kenya itaanza rasmi Kutoza tozo kwenye Miamala ya Simu Kuanzia Tarehe 1...
Ndugu Zangu Watanzania,
Serikali nyingi Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla ziliangushwa au kupinduliwa kijeshi au kuondoshwa kwa Kura za wananchi wake au kukosa uungwaji mkono kutoka kwa...
Ndivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana.
1. Mkate wa Boflo ambao ndio mkate kila...
Rushwa inarudisha nyuma maendeleo kutokana na ukweli kwamba mali ambazo zingeweza kukuza uchumi wa taifa zinaishia kwenye mifuko ya watu au kuwapa wageni kwa makubaliano ambayo hayana faida kwa...
Ifike mahala tuelewane kwamba Tanzania sio Dar Es Salaam pekee.
Wakati serikali ikiwaruhusu wamiliki wa mabasi kuwa na stand zao binafsi huko Dar Es Salaam kwa kigezo cha kuwapunguzia gharama...
Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo.
Kwanini hali hii?
1. Mama...
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA REKODI MAKUSANYO YA KODI 1.9 TRILIONI MWEZI SEPTEMBER
Na, Mwandishi wetu,
Dar es salaam
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa Rais wa kwanza Tanzania kuweka...
Kitendo cha Freeman Mbowe kukutana na Dkt. Samia Ikulu Desemba 31, 2022 kimemfanya mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafue kumalizia mwaka 2022 na kuanza mwaka 2023 vibaya.
Hii imetokana na...
Wapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa.
Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi...
Ian Khama - Ufisadi, silaha na utakatishaji fedha.
Cyril Ramaphosa - Utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na ujangili, akihusishwa na Arthur Fraser.
Jacob Zuma - Matumizi mabaya ya ofisi na...
Ni ushauri tu kwa Chama Cha Mapinduzi kwamba zoezi la kura za Maoni liwe linasimamiwa na Tume ya Uchaguzi NEC ili kuondoa malalamiko ya Wanachama
Ikumbukwe kwamba kura za Maoni CCM Ndio hutoa...
Kuna wenzetu wanatamani wapate hii nchi ila ndio basi.
Ubovu wa chama cha ccm sio kwamba hakijui bali kinaogopa kufanya maendeleo kwa haraka ili kesho waendelee kutumia mtaji wao wakisiasa...
Hatutapoa 2023, hivi ndivyo unaweza kuelezea msimamo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia kwa Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe kutangaza mambo matano ambayo kitayadai mwaka...
Serikali ya Tanzania imesema, haitaruhusu kuingiza vifaranga vya kuku nchini na haitatoa tena vibali vya kuingiza vifaranga hivyo kuaniza Julai 30, 2022.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mifugo...
Habari wadau, heri ya mwaka mpya.
Nakimbuka mwaka 2021 alipoingia Madarakani Rais Dk.Samia ,Nchi ilikumbwa na ukame mkubwa Hadi mwaka 2022 kilikopelekea gharama kubwa za chakula, tatizo la...
Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni.
Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano...
Mkoa mzima wa Singida tangu asubuhi ya leo umegubikwa na vigelele na vifijo. Kijani na njano vikiwa rangi Tawala kila kona. Barabara zimefungwa kwa bashasha na nderemo za vijana wenye sura...