Ni vema Kura za Maoni CCM zikasimamiwa na Tume ya Uchaguzi ( NEC) kwa sababu Ndio zinatoa Viongozi wetu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,951
141,940
Ni ushauri tu kwa Chama Cha Mapinduzi kwamba zoezi la kura za Maoni liwe linasimamiwa na Tume ya Uchaguzi NEC ili kuondoa malalamiko ya Wanachama

Ikumbukwe kwamba kura za Maoni CCM Ndio hutoa Viongozi mbalimbali nchini ikiwemo wale wanaopita bila kupingwa

Heri ya Mwaka Mpya
 
Like kichaa chako kimeamka tena
 
Ni ushauri tu kwa Chama Cha Mapinduzi kwamba zoezi la kura za Maoni liwe linasimamiwa na Tume ya Uchaguzi NEC ili kuondoa malalamiko ya Wanachama

Ikumbukwe kwamba kura za Maoni CCM Ndio hutoa Viongozi mbalimbali nchini ikiwemo wale wanaopita bila kupingwa

Heri ya Mwaka Mpya

Unakoelekea ni kubaya. tafuta tiba haraka au nenda ukapate mafuta kwa Mwamposa.
 
Back
Top Bottom