Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM mkoani Mwanza wamesema hawatajibizana na Chadema bali watamtumia Mikutano ya hadhara kuelezea Ilani ya CCM Katika mkutano mkubwa uliofanyika leo Mjumbe wa NEC aliyepata kura nyingi nchini Dr...
6 Reactions
74 Replies
3K Views
Mimi binafsi ni mdau mkubwa sana na muumini mzuri wa siasa za CCM na mara nyingi napenda sana kutembea kwenye matawi ya CCM kujua yanayoendelea. Katika kipindi cha wiki moja tangu lile zuio la...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Ukifika Temeke..... Nenda mpaka kilipo kibao cha Mtakuja Street. Yard iliyopo nyuma ya kibao hicho ina mambo mengi ya kihalifu kwa upande wa Diesel na Petrol yard hiyo yenye geti jekundu ina mambo...
11 Reactions
54 Replies
8K Views
Unaweza kudhani awamu ya 5 Ufisadi ulipungua lakini muda utaongea, Shujaa Maguful alikuwa mkali lakini Watu waliendelea Kupiga wakijua wakishikwa kuna plea bargaining Bado naamini Rais wa awamu...
4 Reactions
12 Replies
600 Views
Sijajua kama huwa Kuna vikao vya tathmini, lakini nadhani baadhi ya visiwa vingekuwa chini ya wizara ya mali asili moja kwa moja, na vikaangaliwa kwa fursa ya uwekezaji wa hoteli za kitalii. Hii...
3 Reactions
8 Replies
974 Views
Kwa walioumizwa na kukwazwa na hili kundi ni ushindi. Hili kundi la kina Mnyeti, Makonda, Hapi, Musiba na Sabaya liliwafanya Watanzania kusononeka ndani ya nchi yao. Kushitakiwa kwa hawa watu ni...
15 Reactions
259 Replies
14K Views
Yuko wapi Dr. Salmin Amour? Au yuko detantion? Maana siku nyingi haonekani hata kwenye dhifa za kitaifa.
0 Reactions
32 Replies
23K Views
Katika hali ya kushangaza kabisa rais wetu wa Zanzibar, leo katika sherehe za miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar amelitangazia taifa zima la Tanzania kupitia redio na Television kuwa...
1 Reactions
65 Replies
10K Views
Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa. Kwenye uchaguzi wa Malawi...
52 Reactions
135 Replies
32K Views
Ni kweli lengo kubwa la chama chochote cha siasa duniani ni kushika dola. Ukweli mchungu kwenye hili ni kwamba kwa hapa kwetu Tanzania, bado sikioni hata chama kimoja kati ya vyama vyote 18...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Sherehe za Uhuru na Sasa mapinduzi, zinaadhimishwa kwa kupanda miti/kufanya usafi. Nadhani uadhimishaji wa sherehe hizi uwe na mlengo wa kiuchumi. Yawepo mawasilisho ya kiuchumi kwa lengo la...
0 Reactions
5 Replies
659 Views
Katika GAZETI la Leo Nimesoma kichwa cha habari kinachosema MAGEUZI MAKUBWA WIZARA YA ARDHI. Nichukue Nafasi hii kumkumbusha WAZIRI wa ARDHI Mama Mabula pamoja na MAGEUZI anayotaka Kuyafanya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wetu, Mama Samia, kwanza tukupe hongera sana kwa kazi kubwa na inayoonekana kwa Taifa letu, hakika kazi unaimudu na unaiweza kisawa sawa. Rais tunakuomba pamoja na juhudi zako kubwa za...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu anaandika historia ya kuwa mmoja kati ya viongozi nchini waliopeleka miradi mikubwa ya kimaendeleo Kigoma na kuubadilisha mkoa wa kigoma kutoka mkoa uliokuwa nyuma kimiundombinu...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Asilimia kubwa ya watanzania Ni wakulima waliojiajiri katika kilimo, wanao tegemea kilimo kuendesha maisha yao, wanaojenga na kununua sare za shule kwa sababu ya kilimo...
2 Reactions
18 Replies
825 Views
Taarifa iliyotolewa siku ya tarehe 12 Januari 2016 na Daniel Chongolo, aliyejitambulisha kuwa mkuu wa mawasiliano na umma wa Chama cha Mapinduzi (CCM) inasema chama hicho “kimesikitishwa sana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello! Tanzania,it is an exciting blue Monday. Leo Ni siku ya Historia Kwenye elimu ya Sekondari Nchini ambapo Wanafunzi wapatao 1,073,941 Wanatarajia kuanza Sekondari kwa pamoja.. Jambo hili...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
MIRADI 215 YASAJILIWA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI ZANZIBAR-MAJALIWA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa wa Mheshimiwa Rais wa awamu ya nane wa...
0 Reactions
1 Replies
435 Views
MADARASA YA RAIS SAMIA- JIMBO LA NAMTUMBO Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kama vile Waziri wa Fedha Dkt. Mwigullu Nchemba ametegua kitendawili cha " Miradi tunaifanya kwa Fedha za ndani" Dr Mwigullu amesema Kipimo cha kukopesheka ni namna Nchi inavyokusanya kodi Na...
4 Reactions
5 Replies
521 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…