Yuko wapi Komandoo Dr. Salmin Amour? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi Komandoo Dr. Salmin Amour?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kashaija, Jan 2, 2009.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yuko wapi Dr. Salmin Amour?

  Au yuko detantion? Maana siku nyingi haonekani hata kwenye dhifa za kitaifa.
   
 2. M

  Masatu JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ana ulemavu wa macho ( kipofu ) yupo kwao Kaskazini Unguja ni peripheral figure kwenye siasa za CCM ndio maana humsikii
   
 3. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha utani mkuu.Ni kweli Salmin kipofu sasa?Huyo mzee si yuko kamati kuu,sasa kwanini useme peripheral figure?Subiri 2010 utamuona na mahafidhina wenzake wakimuweka Dr.Gharib madarakani!!
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Mara kwa mara hupenda kupumzika pale Kibaha Zenj
   
 5. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Sidhani akijitokeza ghafla halafu maalim akumbane nae mida kama hii patakuwa hapatoshi
   
 6. M

  Mkandara Verified User

  #6
  Jan 3, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Huyu ndiye alikuwa kiongozi... trust me mimi namfagilia jamaa kichizi! hana mzaha anakwambia mbele ya macho yako..
   
 7. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Komandoo yuko Zanzibar, baada ya kuumwa na kutibiwa China, alirudi kimya kimya. Siasa za sasa visiwani ni tete kiasi kwamba hazihitaji mwanasiasa mwenye jazba kama yeye, vilevile ni kama ameamua kupumzika.
   
 8. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu umenifurahisha sana hapa
  Kuna wale wanaoongea kwa kupitia DPP, hao utawaitaje mkuu?
   
 9. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Who cares?
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Long Live Dr. Salmin!!! Siasa za Zenj uliziweka sawa na natumaini hata Uchumi wa Zenj ulikuwa kiasi fulani (Wachumi nisaidie kwa datas) wakati wa Komandoo!!

  Mikutano ya CCM uliheshimiwa sana na nakumbuka hata pale ulipopindisha matokeo ya uchanguzi ukasema "Hata KURA moja ni MAJORITY...."Pia nakumbuka kwenye mkutano mkuu pale Dom uliwadhiaki wapinzani wako (Maalim S) kuwa w/alikuwa w/anakutolea maneno kama "KITIMOTO....MHmHmHmh"

  Mungu akupe nguvu uione Zenji Mpya 2010!!!
   
  Last edited: Jan 3, 2009
 11. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sio yeye tu leo yupo wapi Mr RAMADHANI HAJI FAKI ?

  Mzee wetu Aboud pia husikii hata kulizwa chocho wanasubiriwa watuage tu uone hapa watatokea mahuluku na kuanika wayatakayo
   
 12. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Yakhe vipi? pilipili usio ila inakuwashia nini?
   
 13. J

  JokaKuu Platinum Member

  #13
  Jan 3, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Kibunango,

  ..hivi Brig.Gen.Ramadhani Haji Faki anapewa mafao na huduma za Waziri Kiongozi mstaafu?

  ..sikumbuki vizuri aliondokaje madarakani. miaka ile tulikuwa hatupewi habari kamili zaidi ya kuambiwa ati hali ya hewa ya kisiasi imechafuka ZNZ.

  ..unaweza kutueleza matukio na kilichokuwa kinaendelea ZNZ wakati ule. ilibidi hata Field Marshal Samora Machel wa Msumbiji aje kuhutubia kikao cha CCM--NEC wakati fulani.
   
 14. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Komandoo Salmin yupo saafi salama, na ni majuzi tu ameoa binti dogo dogo, muacheni apumzike mzee wa watu.
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...naaam naaam, mwacheni mzee wa Kidombo ale pensheni yake kwa amani na utulivu maskani kwake kaskazini unguja. kukimbiwa na mke mashaallahu kama huyu; halaumiki kutafuta "kifuta machozi" kuelekea kwenye fainali ya uzeeni...
   
 16. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #16
  Jan 4, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  keshakimbiwa na wake wawili..salma alifuata pesa pale ...na unajuwa tena damu inachemka..salmin hana sifa ya kuishi na wake ..tangu kina mama yake amin salmin...huyo salma mwenyewe alikaa naye muda kwa kuwa ilimbidi kama rais......atakuwa na personal problems ...may be...

  tangu amemuacha salma kashaoa na kuacha mara tatu........
   
 17. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Duh kweli JF kiboko,wazee wa dataz mnatisha mazee!
   
 18. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hizi mnazitoa wapi?, wenye more info mwageni, maana nasikia kwa watu wa zanzibar chungu tatu nne ni kawaida au ni utamaduni wa Kizenj?
   
 19. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hakuna nyongeza katika hili, Dr. alimwoa Salma kwa kuwa alikuwa anaogembea uprez huko visiwani. Uprez ulipokwisha Salma alitafuta sanduku lake na kuishia.... Ndoa hii ilipambwa sana na Farida fashion.. nasikia yupo UK kwa sasa....
   
 20. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Mafao anayapata kwa sasa, lakini sio kama wenzake labda ni yeye mwenye aliamua apate mafao kwa mtindo gani, kwani baada ya kutimuliwa Uwaziri Kiongozi miaka ile alikuwa ni mtu wa kawaida tu mtaani.

  Kilicho muondoa ni kudai kuwepo kwa serikali tatu,na ni kipindi kile cha Aboud Jumbe...Huu ulikiwa ni mwaka 84/83. Na Marehemu Nyerere akatamka kuwepo na uchafuzi wa hali hewa katika siasa za bongo. Hivyo Jumbe na Faki wakaondolewa katika system.

  Miaka ishirini baadae, Faki aliweza kupata mafao yake kama Waziri Kiongozi huko Zenj, ingawa yeye binafsi alikuwa tayali ameshachoka na siasa za visiwa hivyo.

  Unaweza kukutanana naye katika klabu ya Gofu pale Maisara, akizungumza na vijana wa kileo.Mazungumzo yake mengi nikuhusu jinsi alivyotumia muda wake akiwa kijana katika social life... Kamwe azungumzii siasa ambazo zilimweka katika hali ya kukaa kifungoni.

  Ama akiwa na furaha huzungusha raundi ya ze laga kwa vijana pale...Vijana wengi bado wanampenda ingawa yeye binafsi hana tena nafasi katika ulingo wa siasa.
   
Loading...