Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.
Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi...
Kuna Dokezo kwamba Wabunge wale 19 Wasaliti, waliojiuza na kuapishwa na Job Ndugai kwenye eneo la Gereji ya Bunge, huenda Wakaondolewa Bungeni kwa vile waliingizwa kinyume cha Sheria, inadaiwa...
Tanzania, kiuhalisia, tumekuwa tukifanya demokrasia ya maigizo, demokrasia iliyokosa ingridients za demokrasia. Mfumo mzima unakosa uhalali wa demokrasia ya kweli:
1) Tume ya uchaguzi inateuliwa...
Wadau nawasalimu, pia nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Msataafu Jakaya Kikwete kwa uthubutu wake juu ya kutaka Tanzania iwe na Katiba Mpya badala ya Katiba iliyopo kuwa na mapungufu mengi na...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere amesema mtu yoyote Atakayesimama na mwanafunzi kwa Dakika 15 atakamatwa na polisi na kuandikishwa maelezo walichokuwa wakiongea.
Kama kuna...
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa.
Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya...
Hivi nini maana ya diaspora? Na Je, Lissu na Lema nao si diaspora au tofauti yao na hao diaspora wetu ni nini? Kwa nini wao tunawarusu kupiga siasa za nchi yetu na kuwaruhusu kugombea hadi uraisi...
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imepatikana leo, kwamba kwenye uzinduzi wa Mikutano ya hadhara, Makamanda hawa watakuwepo, kwa vile tayari maandalizi ya kurejea nyumbani kutoka huko waliko...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kesho Jumatatu 09/01/2023 Kitaongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , yaliyo nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni...
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa ketu ambapo kilimo pekee kimeweza kutoa ajira kwa 70%. Kilimo ni biashara kwa sababu mkulima anaweza kuuza mazao anayolima kibiashara na kumtengenezea kipato. Na...
Kikwete ndiyo binadamu anayejua uchumi na siasa kwa pamoja. Agenda yake ya awamu ya pili alifanikiwa sana. Aliunganisha makao makuu ya mikoa kwa barabara za lami, nchi za jirani kwa lami, mfano...
CHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa...
Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha sekta binafsi inayoiwezesha nchi kukuza uchumi na kupata maendelo.
Dk Mwigulu aliwaeleza...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara ya Elimu Bara na ile ya Zanzibar zinafanya kazi kwa kushirikiana katika suala la mageuzi ya Sera ya Elimu na maboresho ya...
Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo.
Mwinyi mzee wa...
RC. KAFULILA ATIMUA MAOFISA USHIRIKA WA WILAYA6, AVUNJA UONGOZI AMCOS 335, BEI YA PAMBA SASA KUVUNJA REKODI YA MIAKA30.
Haya ndio mambo 9 kwa mwelekeo wa Pamba Simiyu;
1. " Inafahamika Simiyu...
Wakuu,
Tukiwa bado kwenye majonzi ya kumpoteza aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Joseph Magufuli. R.I.P
Ifike wakati sasa Rais atakayepoteza maisha akiwa madarakani basi mrithi awe ni...
Leo tunaadhimisha miaka 59 mapinduzi ya zanzibar nimekumbuka maneno ya Rais Samia Suluhu aliyosema akiwa anahutubia katika kuhitimisha Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM...
Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa.
Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza...
Kwa namna tume ya uchaguzi, Katiba na kanuni za uchaguzi zilivyo sasa hivi itakuwa kazi bure kama vyama vya upinzani vitashiriki chaguzi bila kufanyiwa mabadiliko muhimu ya kidemokrasia, ni kweli...