Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tukiwa tunaelekea kwenye uzinduzi wa mikutano ya hadhara, kitu pekee ambacho ninawasihi na itakuwa jambo kubwa na la heri, ni kuzingatia muda na mikutano ianze mapema sana maana wazungumzaji ni...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kumekuwa na tatizo kubwa Sana hasa kwenye wizara ya Mali Asili na utalii. Wizara ya Mali Asili na utalii inaonekana kama kila mtu yupo huru kuamua kuamka tu na kuweka tozo...
0 Reactions
2 Replies
854 Views
Kuna mjadala mpana nimeukuta mahali kuhusu mgawanyo wa nafasi za Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa ni kwamba katika Waraka wa Kitume ulio tolewa na Maaskofu wa KKKT sikukuu ya Pasaka mwaka jana ulikuwa na ujumbe mzito wenye kutafuta kuliponya taifa ambalo kwa maono ya Maaskofu hao...
7 Reactions
39 Replies
9K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Mchafu amewakabidhi Mashine ya kufyatulia Tofali vijana ili kuwainua kiuchumi vijana wa Kikundi cha Wazalendo...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Jerry Muro amesema kuwa msimamo wa Rais wa Tanzania,Dkt John Magufuli kuhusu kutoruhusu uingizaji wa chanjo za corona hapa nchini ni wa kishujaa kwa kuwa...
7 Reactions
150 Replies
13K Views
Hali ya upatikanaji wa mbolea kwa wakulima nchini imekuwa ikilalamikiwa kwa takribani miezi minne (4) kuanzia mwezi Agosti mwaka 2022 tangu kuanza kutumika kwa mfumo wa ruzuku kwenye mbolea...
0 Reactions
1 Replies
790 Views
President Samia Suluhu Hassan has said Tanzania expects it's agriculture sector to grow at an annual rate of 10% by 2030 compared to the current growth of around 3.6% as part of the country's...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara na threads nyingi zimekuwa zikimtakia au kumuombea mabaya Waziri wetu Mkuu mchapa kazi hodari mzalendo wa kweli asiyependa uzembe utokee popote, amekuwa...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Tuondoe mtazamo hasi wa kijinsia, kidini, kikanda, kisiasa nk Pia madhara ya kuyumba kwa Uchumi wa dunia kutokana na Vita vya Ukraine yanayosababisha bei ya...
0 Reactions
3 Replies
516 Views
Wale vijana wenye ndoto za kuwatumikia wananchi kwa njia ya siasa na uongozi, tumieni muda huu kujipatia kadi ya uanachama wa CHADEMA. Hii itafanya uanachama wako kuwa na historia ndefu kidogo na...
5 Reactions
13 Replies
994 Views
Wabunge wanaendelea kujadili ripoti ya CAG Bungeni wabunge wengi wmeonekana kulalamikia ubabaishaji mkubwa uliopo kwenye mfumo wa utoaji wa ruzuku ya mbolea huku wengi wakidai utaratibu huo...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Mawazo ya mtu kupingwa ni kawaida ila kujengewa hoja. Tuzungumze ukweli 2015 ndio tulivunja rekodi tokea kupata uhuru kufanya ujinga ujawai tokea. Idadi ya wabunge waliongizwa bungeni 2015...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anachaguliwa kwa kura kama ilivyo baadhi ya maaskofu. Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anaweza kukaa madarakani apendavyo mfano Lipumba wa CUF na baadhi ya maaskofu ni...
0 Reactions
7 Replies
621 Views
WAFANYABIASHARA MOSHI WAMSHANGAA RC MGWIRA KUMLAUMU RAIS MAGUFULI Wafanyabiashara wa manispaa ya Moshi waliokuwa na kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira wameonesha kushangazwa na...
2 Reactions
82 Replies
10K Views
Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona. Hivyo kwa mujibu...
14 Reactions
201 Replies
19K Views
Kwa mliofanikiwa kufuatilia tukio la jana Disemba 22, 2022 la kuanza kujaza maji Bwawa la JNHPP wamesema mradi utakamilika lini. bahati mbaya mimi umeme ulikuwa umekatika sikuweza kufuatilia...
1 Reactions
10 Replies
925 Views
Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo...
9 Reactions
97 Replies
6K Views
Nimesukumwa na dhamila yangu njema kuwaonya vijana wetu wasijiingize kwenye vurugu zinazo sukumwa na watu Wa gonvi wanao jivika vazi la siasa huku wakitaka kuondoa Amani Yetu. Niombi langu kuwa...
2 Reactions
18 Replies
894 Views
Gavana mpya Tutuba! Tutuba holds an advanced Diploma economic planning and MBA in corporate management from Mzumbe Uni vs Luoga a tax law Professor who (Luoga) is accredited for helping...
6 Reactions
156 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…