johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anachaguliwa kwa kura kama ilivyo baadhi ya maaskofu.
Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anaweza kukaa madarakani apendavyo mfano Lipumba wa CUF na baadhi ya maaskofu ni hivyo hivyo.
Mwenyekiti wa Chama anaweza kuwaminya wanachama wanaotishia nafasi yake mfano Mbatia pale NCCR mageuzi na katika baadhi ya Makanisa ni hivyo hivyo.
Mwenyekiti wa Chama anaweza kuchezea Katiba ili adumu madarakani mfano Momose pale UDP na baadhi ya Makanisa hasa ya Kilokole ni hivyo hivyo.
So, nawaona Wakenya wako sahihi tu kufanya siasa kanisani.