Chadema kama chama tegemeo kwa ukombozi wa nchi hii ni tofauti sana na vyama vingine. Tofauti kubwa iliyopo ni kuwa chawa kama wale wa Mama huku si sifa bali ni machukizo.
Chadema iliyoko mioyoni...
Januari 21, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga akiambatana na Mweneykiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Wise Mgina na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Ndg...
Kwa maneno ya Mbowe ya leo pale Mwanza Mama Samia angemteua kuwa Mbunge angekuwa ameshapunguza changamoto moja kubwa sana ya kisaisa kwa upande wake.
Angekuwa amemzika rasmi Bw Freeman Mbowe...
Wakuuu kwanza nampongeza mkiti Mbowe Kwa mengi aliyoyafanya Kwa chama chake kwa nchi yake na taifa kwa ujumla.
Huyu ni kiongozi wa upinzani ambaye hatasahuliwa vizazi vingi vijavyo. Pamoja na...
Hata CCM hakuna mtu aliyewahi kutumia mabilioni yake kwa ajili ya Chama
Kwamba yeye Mbowe peke yake ndio amewashawishi mh Rais Samia na Komredi Kinana kuruhusu Mikutano ya hadhara na kuanzisha...
Miaka sita ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ilikuwa mwiba kwa Chadema, inayotimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kwa kuwa zilifunguliwa kesi nyingi...
Makada wa CCM wasio na ushawisho Kwa wananchi wameanza kuona Giza mbele ya siasa baada ya chadema kurejea Kwa kishindo.
Wengi wametokea kuwa washauri WA chadema wakitaka chadema isikubali...
Mara kadhaa Rais Samia ametamka kuwa sasa ni wakati wa kuacha siasa za uhasama.
Na kwa kweli ni ushamba wa hali ya juu kuifanya siasa ni ugomvi au uadui. Siasa zinatakiwa ziandane na hoja, halafu...
Ni hapa Mwanza hotel na Gold crest walipolala viongozi wa chadema, Kuna polisi wengi wenye manyota na wasio na nyota na licruiser lao wamepozi kwa nje wakiteta jambo na viongozi wa chadema wilaya...
Wasalaam.
Leo ilikuwa ni Ufunguzi wa Mikutano ya Hadhara kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliyofanyika uwanja wa Furahisha mkoani Mwanza.
Pamoja na mengine mengi, hotuba ya...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atakuwa amekitendea haki chama na Wanachama iwapo atawataja kwa majina Viongozi anaodai wanalalamika kwamba yeye analamba asali Ikulu
Uwazi utakiponya chama na...
Watu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio?
Yaani mnashindwa kuwahoji ao Ccm wenu mnataka kumtoa mzee wa watu kwa reli Muacheni mzee kwanza alipokuwa nyuma ya Nondo hamjasaidia...
Amani iwe Kwenu
Benki kuu (BOT) imeshatoa takwimu kuonesha mfumuko wa bei umeongezeka kwa zaidi ya asilimia 1 ndani ya miezi michache. Sasa mfumuko unafikia asilimia 4 na ushei.
Dunia nzima sasa...
1. Kuundwa kwa Tume ya Pamoja ya Fedha na kuanzishwa kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha kwa mujibu wa Katiba ya Muungano ili mapato na matumizi ya Muungano yawe wazi.
2. Gawio la Zanzibar kutoka...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama...
Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi...
Gavana na waziri wa fedha vamia,funga na zuia vikampuni vya kukopesha pesa mtaani,,hivi vikampuni vimekuwa mwiba mchungu kw a watumishi hasa wa umma yaani mtu anakopeshwa pesa kwa riba ya asilimia...
Kama ilivyosemwa kwamba chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani hapa nchini kitaanza mikutano yake ya hadhara hivi karibuni, kutokana na hali ya mambo ilivyo Kwa sasa na mabadiliko makubwa ya...