Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,006
- 1,171
Wakuuu kwanza nampongeza mkiti Mbowe Kwa mengi aliyoyafanya Kwa chama chake kwa nchi yake na taifa kwa ujumla.
Huyu ni kiongozi wa upinzani ambaye hatasahuliwa vizazi vingi vijavyo. Pamoja na kwamba hakuwa mwenyekiti kwanza wa chadema lakini amekuwa nafasi kubwa ya kuweka misingi ya Chadema kama inavyoonekana Leo. Amekuwa kiongozi mwenye msimamo hata kipindi Cha mtikisiko mkali wa demokrasia nchini.
Ameweza kuwaandaa viongozi wengi ambao wengine wamekuwa maarufu kuliko yeye na kuwapa nafasi kubwa za kugombea na mengine mengi
Pamoja na hayo yote lakini ninaona ni wakati wake mzuri sana wa kuachia ngazi. Wakuuu kiongozi mzuri sio yule anayejua wakati wa kuingia Bali anajua wakati wa kutoka pia.
Kila kiongozi ana mambo amb ayo anaweza kuyafanya baada ya hapo anapozidi kukaa anaweza kun'goa Yale mazuri yake yote.
Moja ya jambo lililompa heshima Mkiti na rais wa kwanza wa nchi hii ni kujua wakati kung'atuka. Kwa wale watu wa karibu mnaopenda Mbowe mshaurini kwa hekima awe tayari kuachia nafasi ya mkiti abaki kuwa mshauri
Mambo aliyoyafanya ni mengi mazuri Ili asije akayang'oa kwa mikono yake