Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
Kwa waliopata nafasi ya kuyasikiliza mahojiano ya Jaji Joseph Sinde Warioba na mwandishi wa habari nguli, mzee wetu Jenerali Ulimwengu, watakubaliana na mm kuwa hayakuwa mahojiano ya kawaida...
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Viongozi wa Dini wana haki kama viongozi wengine" Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha na wananchi kwa ujumla kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe...
Wakuu hali inazidi kuwa mbaya, kila kitu ni kilio bei juu, Gesi ya kupikia imepanda, mafuta ya kula yamepanda, mafuta yamepanda na sasa na Dangote kapandisha Sementi kisa gharama za usafiri sijui...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali inaendelea kusimamia na kuimarisha vyuo vya mafunzo vya kisekta vilivyo chini ya Wizara hiyo ili kuhakikisha sekta ya uchukuzi na...
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni...
Uwa siandiki Mara nyingi
Kumbukeni wananchi
Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea...
Leo hii Trc wanajinasibu kuwa shirika linajiendesha lenyewe bila kupata ruzuku toka serikalini. Hizi zote ni juhudi za Shujaaa wa Afrika.
Alikuwa makini sana kusimamia pesa za umma. Kutandika...
Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.
Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa...
Sisi ni wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika mgodi wenye leseni za NICO RAYMOND NYEMELE (PML 1794/1795 GTA) na MHELLA NATHANIEL (PML 1797 GTA) zilizopo katika Mkoa wa Geita, Wilaya ya...
Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza...
Napata picha Marais makini kama Mwl Nyerere ama Rais Mkapa, kwenye suala kama hili ambalo linawagusa wananchi moja kwa moja, lazima wangetoka mbele na kutupa ufafanuzi wa kina imekuwaje.
Hii ni kwa sababu ya ukiukwaji mkubwa wa Maadili baada ya kubainika kutumia Sheria za mfukoni mwake ili kuikandamiza Chadema
Hayo yamebainika kwenye Mahakama ya Rufaa ambako Mahakama hiyo...
Kumekucha..
Tanzania kwa mara ya kwanza kabisa itafungua ubalozi wake Nchini Israel katika Mji wa Tel Aviv.
Nchi ya kiafrika ambayo ilikuwa na uhusiano na nchi ya Israel Mwaka 1971 itafungua...