Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria. CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha. CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha...
17 Reactions
117 Replies
6K Views
Mshituko mkubwa nimeupata baada ya kugundua kuwa watanzania wengi wamezitunza video mbalimbali za hayati Magufuli kama reference na kipimo cha kupima utendaji wa serikali iliyopo madarakani na...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanaofahamu sheria naomba watusaidie... Ni viongozi gani wa kitaifa wanatakiwa kusubiriwa kupita na watumiaji wengine wa barabara kustopishwa? Karibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo yupo mkoani...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Daniel Chongolo akiendelea na ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya CCM na Kusikiliza Kero Mbalimbali za wananchi katika Mashina...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Zipo taarifa kwamba walafi wanapanga njama za kumrejesha Sabaya uraiani kabla ya tarehe 01/03/2023. Mbinu zinazotumika nipanoja na kusambaza habari kwamba yupo hoi, lakini wazazi wake pamoja na...
1 Reactions
2 Replies
879 Views
Inashangaza na Kustabisha sana Serikali moja na Chama kimoja na ilani moja kuna kauli tofauti kwenye suala la ujenzi wa Reli ya SGR. Rais Magufuli alitutangazia Wananchi kuwa Reli ya SGR...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakati Msafara wa Tundu Lissu Ukitoka Dodoma kuelekea Ikungi , ambako kunatarajiwa kuwa na Mkutano Mkubwa sana wa hadhara , Wananchi wa Manyoni wameupiga stop wakitaka neno la faraja kuhusu Ugumu...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Sikubya tarehe 5 CCM mkoa wa singida kupitia mwenyekiti wake mama Martha mlata watafanya maadhimisho ya CCM Singida magharibi. Hivyo wananchi wote wa singida kuhudhuria mkutano huo ambaao utakua...
1 Reactions
5 Replies
912 Views
Najiuliza wapinzani wakifanya mikutano ya adhara Serikali inaathirika vipi Hadi isshindwe kufanya maendeleo? Naona Tundu Lisu anazunguka, Je, Mhe Samia na serikali yake wamezuiwa kufanya KAZI...
0 Reactions
2 Replies
489 Views
Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo. 1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu). 2. Kukosa Uhuru wa kutumia NYAMA...
24 Reactions
160 Replies
15K Views
BUNGENI: Mbunge Hawa Mwaifunga amesema Wizara ya Ardhi imekopa Zaidi ya Tsh. Bilioni 345, bila Kamati kuwa na Taarifa ya Mkopo huo na kuhoji Matumizi na vipaumbele vya Wizara. Mkopo huo...
5 Reactions
70 Replies
7K Views
Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa. MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane. Kwa hiyo MC...
13 Reactions
29 Replies
3K Views
Hii kauli inachanganya sana. Maana ni wazi kuwa Nape na kundi lake walifurahi sana ? March 21 202. Hii kauli inachanganya sana👇
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Tundu Lissu alirejea nyumbani 25 January na kuelekea moja kwa moja Bulyaga, Temeke mkutanoni. Hii ikiwa 21 January walikuwa Furahisha, Mwanza kwenye uzinduzi, 22 January Musoma na 23 January...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Najua wengi mtatukana matusi mengi ila mkashindwa kukubaliana na ukweli! Kokote kule, msaliti huchukiwa na kila mtu, awe mke ama mume akimsaliti mwenzake, huibuka chuki na pengine mgogoro mkubwa...
0 Reactions
3 Replies
422 Views
Awali nilimpongeza Sana Katibu WA CCM alivyopiga marufuku kubeti. Contrary; nimesikitika kusikia kubeti IPO kwenye ilani ya chama cha mapinduzi. Je, ni kweli ilani hiyo inatengeneza wataalamu WA...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Naona CCM wameikamata nchi kila mkoa ,kila kata ,kila wilaya na kila mtaa na vijiji huku CHADEMA wako singida tu pale kiomboi . Kumbe zile kelele za kufungua mikutano wahawakuwa wamejipanga zaidi...
0 Reactions
9 Replies
504 Views
Kama kuna habari inakera, kufedhesha na kutia hasira wiki hii ni jinsi serikali ya Zanzibar ilivyoshughulikia suala la ndizi za mjane aitwaye Veronica Mwanjala. Kosa la Veronica ni kupeleka ndizi...
29 Reactions
98 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…