Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wameanza kutest mitambo. ============== Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamependekeza kufanyika kwa marekebisho ya Katiba ya Zanzibar ili kumpa nafasi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...
3 Reactions
27 Replies
691 Views
  • Featured
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa...
20 Reactions
112 Replies
4K Views
😆😆😆😆
1 Reactions
12 Replies
209 Views
Umoja wa Wahadhiri wa Kiislamu Tanzania (UWAKTA) umesema utaendelea kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa amani ili kuendelea kudumisha mshikamano ulioasisiwa na waasisi wa...
1 Reactions
11 Replies
266 Views
Mzee Joseph Warioba,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ananikumbusha "story" ya Waziri Mkuu wa zamani wa Nchi ya Burundi,Mh. Generali Alain Bunyoni ambaye alishiriki kuunda na...
3 Reactions
18 Replies
402 Views
Kuna huu uzi nimesoma. https://www.jamiiforums.com/threads/je-captain-tesha-habil-na-kabil-ilikuwa-project-ya-night-walk-ya-wana-usalama.2437201/page-2 Nimeona jinsi baadhi ya wadau...
10 Reactions
21 Replies
565 Views
Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu...
11 Reactions
50 Replies
883 Views
Nimeshangaa sana kabisa. Samia genge lake wamadai wanatoa huduma za afya bure, kumbe hata hela tunayotoa ya kumuona Daktari wanaila wao. Miaka yote najua hela ya kumuona Daktari anachukua...
5 Reactions
13 Replies
298 Views
Maadam Wewe mwenyewe umeamua kufukua makaburi, basi ni vema ukayafukua yote kuanzia ule Wizi wa kura kule Masaki na hujuma za Sumu Tunafahamu Njama mliyomfanyia Lowassa kabla n.a. baada ya...
1 Reactions
10 Replies
255 Views
  • Featured
Wakuu, Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini. Kwa mujibu wa chapisho rasmi...
19 Reactions
157 Replies
4K Views
Wakuu habari? Kumekuwa na minong’ono mingi mitaani na vijiweni kuhusu jina linaloendelea kuonekana kwenye teuzi mbalimbali za serikali – Dkt. Nyansaho. Wengi wanajiuliza: Ni nani huyu Dkt...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Redirect
#HABARI: Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana Watanzania kuilinda amani ya Taifa kwa kulindana wenyewe na kuonesha dunia kuwa yaliyokea Oktoba 29, 2025 hayatatokea tena. Amesema yaliyotokea...
1 Reactions
Replies
Views
Unapokuwa Rais wa Nchi usiwe takataka, jiheshimu na ujilinde usiwe na doa chafu Unapopewa dhamana kubwa ya mwisho katika nchi hutakiwi kufanya Mambo ya kijinga na ya kitoto maana inaweza kushusha...
9 Reactions
14 Replies
440 Views
Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo...
7 Reactions
15 Replies
559 Views
Yaani kuandamana kwa amani kushinikiza mtu asiye na kosa aachiwe ni kosa? Dunian nzima ilipinga kufungwa kwa Nelson Mandela. Na maandamano yalikuwa yakifanyika hata hapa Tanzania. Leo kusema tu...
4 Reactions
26 Replies
445 Views
Samia amevunja bodi ya wadhamini ya PSSSF kwa sababu iligoma kupitisha kutoa fedha za wastaafu kwenda kujenga uwanja wa ndege Serengeti ili kuboost biashara zake na mtoto wake. Bodi ilikataa kwa...
9 Reactions
13 Replies
407 Views
Tunaposema Chadema ni Mpango wa Mungu muwe mnaelewa. Kinachotokea Katoro mchana huu iwe fundisho kwa watawala, Kwamba kumbe vitisho, Mauaji na utekaji havijawahi kusaidia chochote Huu moto...
5 Reactions
21 Replies
501 Views
Mnajua Maji ya shingo? Au ile tunasema Kupumulia mashine ? Hiyo ndio Hali ya CCM ilivyo kwa sasa. CCM kwa sasa ímeichafua NCHI kwa Matendo yake, Dunia yote inawamulika CCM. Hamjui Kuna wàna CCM...
3 Reactions
5 Replies
195 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amerejea salama salimini Kabisa Nchini Mwetu. Ambapo Rais wetu...
2 Reactions
21 Replies
487 Views
Mkutano wa Leo wa Mh LEMA pale Arusha, Ni kama anawapa CCM ukubalifu, yaan ni kama Anakubali Serikali ya CCM, na Kuona kwamba kuruhusiwa kwa mikutano hiii ni kama Jambo jema la CCM kwa Vyama vya...
15 Reactions
20 Replies
525 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…