Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Ameiheshimisha Sana CCM Mitaani, CCM kinaonekana ni chama Cha Amani, maridhiano, haki, kizalendo na...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Hii Kauli ya Rais Samia imenifunza kitu kikubwa kwamba ndani ya CC ya CCM kuna Demokrasia iliyotukuka Fikiria hoja ya Mwenyekiti ambaye pia ni Rais wa JMT inajadiliwa kidemokrasia kikaoni...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
59 Reactions
183 Replies
37K Views
Mimi si mwanasiasa ila ni Mtanzania ninayenufaika na siasa. Kwa umri wangu mdogo, nimeona vyama vingi vikifa ikiwemo CUF, chama ambacho nilikipenda sana, ila baadaye nikaanza kuvutiwa na smartness...
6 Reactions
5 Replies
672 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana ameshiriki hafla ya usiku wa Mwanamke, Machi 08, 2023 iliyowahusisha Wanawake wa Mkoa wa Njombe ambapo shughuli mbalimbali zikiwemo za...
2 Reactions
7 Replies
894 Views
Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya...
7 Reactions
110 Replies
8K Views
Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki watanzania. Habari Watanzania. Dunia Sasa Ina lazimishwa kuwa na mwelekeo MPYA. Na lazima iwe hivyo wakubwa(mashetani) wameamua hivyo na tutake tusitake...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Alijibu kuongezeka Kwa deni la Taifa, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya Magufuli Ilikopa Mikopo Mingi ya Kibiashara Kwa kile kilichoitwa Vita ya Kiuchumi. Tunajenga Kwa...
9 Reactions
179 Replies
11K Views
Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
6 Reactions
31 Replies
5K Views
Kuna Tetesi kwamba Mh Rais alijaribu kushawishi Chadema kuruhusu Wabunge waliofukuzwa ndani ya chama hicho kwa usaliti waruhusiwe kuingia kwenye kongamano la Bawacha. Mtoa taarifa hiyo anadai...
16 Reactions
50 Replies
4K Views
Hapo zamani, wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere, Rais, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, na Viongpzi wote wa chama waliitwa 'Ndugu'. Neno hili fupi lilibeba mengi. Machache ni pamoja na: 1)...
3 Reactions
4 Replies
725 Views
Kesi ya kina Mdee na CHADEMA leo imeingia ukurasa mpya baada ya mawakili wa CHADEMA kusema hawana tena maswali kwa akina Mdee. Hapo siku za nyuma mawakili hawa walishangiliwa sana jinsi...
6 Reactions
115 Replies
11K Views
Kuna mambo siyo lazima yasubiri Katiba mpya bali yanaweza tu kutungiwa sheria katika bunge la sasa Nimefurahishwa sana na namna CCM na Chadema walivyofungua pazia la Siasa za kistaarabu na...
1 Reactions
2 Replies
376 Views
Ndugu zangu watanzania, Siasa Ni sayansi na sayansi Ina kanuni zake, siasa Ni watu,siasa ni kuteka mioyo ya watu,siasa ni uungwaji mkono wa watu,Siasa Ni ushawishi wa kisera na kiajenda ulioubeba...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Am speechless hadi sasa wakuu sitaki kukumbuka tulipotoka kipindi cha Magufuli ungenambia tungefika huku ningekataa. Rais Samia anayo dhamira ya dhati kabisa Rais Samia ni zaidi ya mama kwetu...
3 Reactions
12 Replies
803 Views
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na...
13 Reactions
93 Replies
5K Views
Habari Wadau.. God bless Lema ameendeleza kebehi na dharau zake kwa Mamlaka kwa kuwaita washamba Kwa kujenga Ukuta Kuzunguka migodi ya Tanzanite kule Melerani.. Awali Lema alinikuliwa akisema...
8 Reactions
116 Replies
7K Views
Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni Kwa timu nzima ya kina joni au timu sifia sifia. Haupo uhakika leo kama kina mwashambwa usingizi wataupata. Kwa hakika hali zao haziwezi kuwa hali. Haupo uhakika Mama atawachukulia je...
0 Reactions
1 Replies
653 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…