CCM yafanikiwa kupandisha Bendera yake katika Mioyo ya Watanzania wa makundi yote

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,230
9,666
Ndugu zangu watanzania,

Siasa Ni sayansi na sayansi Ina kanuni zake, siasa Ni watu,siasa ni kuteka mioyo ya watu,siasa ni uungwaji mkono wa watu,Siasa Ni ushawishi wa kisera na kiajenda ulioubeba na kuupeperusha katika mioyo ya watu.

Kwa hakika CCM imefanikiwa kupandisha Bendera yake Katika Mioyo ya watanzania wa makundi yote,Siasa za kisayansi zinazofanywa na kuendeshwa na CCM zimewaleta watanzania pamoja,kuwaunganisha ,kuwasikiliza ,kuwaunga mkono na kuwapa ushirikiano kwa kila Jambo,hata maridhiano yanayoendelea na kufanikiwa kwake kunatokana na nguvu kubwa ya kisiasa na ushawishi iliyonayo CCM katika siasa za nchi hii,uwezo mkubwa wa viongozi wake kiushawishi na kiuongozi umewaleta wapinzani upande wake na kuongoza njia ya maridhiano na safari ya kujenga umoja wa kitaifa.

Chama Ni ushawishi kwa watu,kwa Sasa watanzania wameshawishika na kuamini kwa Dhati ya Mioyo yao kuwa Ni CCM pekee yenye uwezo wa kuwaongoza na kuwaletea maendeleo,Ni CCM pekee yenye Umadhubuti na ushupavu wa kiuongozi katika kuwasaidia na kuwawezesha kutimiza Ndoto zao,Ni CCM pekee yenye kuendeleza utulivu na Amani ya nchi yetu,Ni CCM pekee na serikali Yake yenye kujuwa uzito wa kiapo chake cha kiuongozi na kimamlaka katika kulipigania Taifa letu kwa jasho na Damu,Ni CCM pekee yenye kupigania na kulinda maslahi ya Taifa letu na Ni CCM pekee yenye kupigiwa kura na kupewa dhamana ya kuliongoza Taifa letu wakati wote.

Ndio sababu ya kuona ofisi za CCM na viongozi wa CCm zikiwa kimbilio la wanyonge na waliodhulumiwa haki mahali popote pale, ndio sababu ya kuona wazee kwa vijana wakijiunga CCM kila Siku,ndio sababu ya kuona kadi za CCM zikitafutwa Kama Dhahabu na vijana mbalimbali ili wajiunge na chama hiki chenye kuleta matumaini kwao ,Ndio sababu ya kuona ziara za viongozi wa CCm wakipata mapokezi makubwa kwa wananchi kutambua kuwa hao ndio wenye majibu na suluhisho la kero na changamoto zao,ndio sababu ya kuona CCM ikipigiwa Kura kila uchaguzi,ndio sababu ya kuona hata viongozi wa upinzani wakiwa upinzani lakini mioyo Yao IPO CCM na midomo Yao inakili kuwa CCM na serikali Yake imefanya kazi kubwa na inastahili pongezi na kuungwa mkono ,ndio sababu kila mtu ya kutambua kuwa Hakuna linalowezekana nchi hii ikiwa CCM haijatoa baraka zake na kuridhia kufanyika,Ndio maana ya kuona vikao vya CCM vikifuatiliwa na vikiteka anga la Siasa za Tanzania kila vinapofanyika,Ndio sababu kila mmoja anajiona fahari na heshima kuwa mwanaccm,Ndio maana CCM kinabaki kuwa chama kiongozi hapa nchini na Tumaini la watanzania.

Ndio sababu ya kuona kuwa macho na masikio ya Dunia nzima husubiri kwa hamu Sana kufahamu mtu anayekuwa amepitishwa na vikao vya CCM kugombea nafasi ya Urais kwa kutambua ukweli kuwa kila mtanzania na mwenye Akili Timamu anajuwa kuwa kiongozi Bora ni lazima atoke CCM na Ni CCM pekee yenye uwezo wa kutoa kiongozi Bora na Rais Bora wa kubeba matumaini ya watanzania na kwamba watanzania Wana Imani kuwa CCM haiwezi katu na kamwe kuwaletea kiongozi dhaifu na asiye faa, ndio sababu ya miaka yote CCM hupita kwa kishindo kinachoitetemesha Dunia nzima na kuteka vyombo vyote vya kimataifa. maana kiongozi anayekuwa amepitishwa na CCM huja Kama Baba na mama mlezi wa Taifa,mfariji wa Taifa na kiongozi Jasiri muongoza njia.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
 
Watanzania Wana Imani kubwa Sana na CCM na wanaendelea kuiunga mkono kila siku
Kweli kabisa , hasa baada ya maendeleo yao kuwa juu .

FB_IMG_1575390792397.jpg
FB_IMG_1575390806699.jpg
FB_IMG_1575390800494.jpg
 
Sidhani kame wewe ni mwanamume kamili, huenda ni transgender
 
Wewe ni was kuhurumia tu maana umeandika ili kuwafurahisha wakubwa wako huko ccm.
Na UDC hautaupata kama uandishi wako ni huo, chawa mkubwa wewe.
 
And vice versa is true to the best of my knowledge
 
Nani awe na imani na chama cha majambazi?
Mamilioni ya watanzania Wana Imani na ccm na ndio mama kwa miaka yote na katikanl chaguzi zote wamewapigia Kura CCM na kuwakataa na kuwapuuza wababaishaji kutoka upinzani wasio na Sera Wala ajenda zaidi ya kushibisha matumbo Yao tu
 
Hakuna anayepigia ccm katika mfumo wa vyama vingi bali hupigiwa kura vyama vyote ila ccm hutumia madaraka kuviengua vyama isivyovipenda kwa kisingizio cha kura.
 
Kwakweli na mm hiki chama kinaitwa ccm nshakichoka natafta pa kukimbilia niachane na hawa Mabeberu weusi,tatizo ntaenda chama kipi?

Mbowe, Lema, Lissu na Wafuasi wao wote wanaipigia kampain sisiem, Zitto kabwe huyo ndo husiseme chama chake ni mke mkubwa na mke mdogo kwa sisiem....Nakosa pa kwenda tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom