Nauliza tu kwa sababu Mdude Chadema na Tindo wanapendelea Siasa za kizamani hawapendi mabadiliko
Kwa mfano hata Wakati huu tulioungana wao bado Wana mawazo ya kichadema chadema
Jamani badilikeni...
Imefika muda Rais ajitafakari yupo kwajili ya wanasiasa au Watanzania.
Kwa sababu utoaji wa huduma za kijami bado umekuwa ovyo Kwa mfano suala la umeme bado hali ni ovyo.
Mfumuko wa bei ya...
Watanzania kwa umoja wetu inapaswa tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uhai tukaweza kushuhudia uongozi imara, uliotukuka na mpenda nchi, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe...
Mh Rais Mimi kama mwananchi wako sina tatizo na Samia Suluhu Hassan Nina tatizo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiondoka wewe anaweza kuja mtesi mwingine Watanzania tukalia tena...
1. Lema
2. Mbowe
3. Lissu huyu bado ana ukaidi anasema yeye hawataweza mzuia so atashiriki tu.
Ila Lema na Mbowe wao wameelewa somo kuwa sasa ni mwendo wa praise and worship tu kama ilivyokuwa...
Mkuu wa Wilaya Korogwe Mhe. JOKATE MWEGELO apokea Vifaa vya TEHAMA katika Shule 6 wilayani Korogwe vyenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 92 kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania.
Hata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate...
Mh. RJMT mama Samia wakati anahutubia taifa kupitia hadhara ya siku ya wanawake duniani iliandaliwa na BAWACHA alitumia msemo wa kiingereza
it takes two to tango. Kimetokea kilichotokea hadi...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Balozi wa Uswisi hapa nchini ambaye pia ni Mkuu wa Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa...
Ni jambo la faraja hasa kuwa kumbe Rais ambaye ni mtu muhimu sana katika kuendesha taifa ana kiri kuwa anatumia muda wake adimu kuperuzi kurasa za JamiiForums
Hii ni fahari kwetu wote wachangiaji...
Kuna tetesi kwamba Chadema wameamua kuweka "silaha chini", na muda si mrefu watatangaza msamaha kwa Mdee na wenzake.
Mkutano mkubwa wa hadhara unapangwa ili kutangaza msamaha huo kwa msingi...
nimekuwa nikifuatilia mtandaoni na mtaani, Rais Samia akikutana na wapinzani kujadili mambo ya siasa au mambo mengine, wafuasi wa Magufuli wamekuwa wakichukia na kutukana sana
Ilianzia Samia...
Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano tarehe 8 March ikiwa ni kilele Cha Siku ya Wanawake Duniani.
Macho na masikio ya Watanzania leo yanaelekezwa katika mji maarufu wa Moshi mkoani Kilimanjaro...
Nilikuwa disapointed sana tangu mikutano iliporuhusiwa jinsi Chadema walivyokuwa wanampamba Mama Samia ndipo nikaamini wamelamba asali. Ila baada ya jana nimepata picha.
Tuendelee na siasa za...
👉Mtu bingwa kabisa Samia Suluh Hassani,amewafanya Chadema na viongozi wao kugeuka team ya kampeni nzuri sana kuelekea 2025..
👉Mtu anayeifaham siasa ameyafanya manyumbu yote kuwa Kitu kimoja...
Nimeona hivi karibuni watu wakimlinganisha mbowe na lipumba, mengi yamezungumzwa lakini Mimi nitasaidia kuwajulisha na kuwaacha muamue nani bora.
Elimu zao tuweke pembeni tujikite zaidi kwenye...
Rais Samia Suluhu Kafanikiwa sana kuiteka 2025, ni uhakika kuwa ndani ya CHADEMA hakujawa na dhamira ya kweli ya kuishika dola kwa wakati huo, waendelee kujipanga baada ya mama labda wajaribu...
Na Mwl Udadis, Bomang'ombe, Kilimanjaro
Wakati wananchi tukifurahia ukomavu wa kisiasa, uwezo wa kiuongozi, busara na hekima za viwango na dhamira njema ya Rais Samia katika kuua siasa za...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema China inatengeneza Mamilioni ya Pikipiki lakini nchi hiyo haina Bodaboda.
Lissu anasema, Vietnam inatengeneza Pikipiki lakini nchi hiyo haina...
Pamoja na kuteuliwa kuwa mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa pia bwana Hamdun amepandishwa cheo kutoka kuwa ACP mpaka kuwa CP ikiwa na maana amerukishwa vyeo vya SACP na DCP je ndio...