passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 5,886
- 11,369
Imefika muda Rais ajitafakari yupo kwajili ya wanasiasa au Watanzania.
Kwa sababu utoaji wa huduma za kijami bado umekuwa ovyo Kwa mfano suala la umeme bado hali ni ovyo.
Mfumuko wa bei ya vyakula bado hali sio nzuri, uzembe makazini umeongezeka, hali ya ajira bado ni ngumu.
Rais ajue yupo hapo Kwa ajili ya Watanzania sio kwa ajili ya wanasiasa tu.
Watanzania watakukumbuka kwa ya kuboresha Maisha yao sio kuboresha maslahi ya wanasiasa.
Ndiyo maana watu wengi wanamkumbuka Magufuli kwa sababu aliweza kukontrol basic needs za Watanzania bei zisipande ovyoovyo.