chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,012
- 20,685
Kuna tetesi kwamba Chadema wameamua kuweka "silaha chini", na muda si mrefu watatangaza msamaha kwa Mdee na wenzake.
Mkutano mkubwa wa hadhara unapangwa ili kutangaza msamaha huo kwa msingi huohuo wa maridhiano, na wao wajikoshe kwamba hata kwao Kuna wema (charity begins at home).
Itakumbukwa kwamba wabunge hao ni wake na marafiki wa ndani sana wa viongozi hao, na kuna tetesi kwamba huwa wanafaidi mishahara yao, japo wakiwa jukwaani wanawapinga.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa CDM wanasema kwamba Mdee na wenzake wanaendesha vita ngumu, na madhubuti, kwa hiyo ni bora tu watangaze msamaha.
Kwa mara ya kwanza mawakili wa GPO wamekata tamaa kutokana na Mdee na wenzake kukaa katika njia ya ukweli muda wote.