Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba ni moja wa MaDr wakubwa wa uchumi tulio nao hapa nchini. Tunajivunia. Bahati nzuri kwake yupo kabisa kwenye 'core system' yaani ni policy maker mwenyewe hivyo...
0 Reactions
15 Replies
895 Views
Kazi inaendelea, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania na Wizara ya Fedha Kupitia Waziri Mwigulu zimesaini mkopo wa Dola mil. 560 sawa na shilingi Trilioni 1.3. Kwa mujibu wa maelezo...
3 Reactions
86 Replies
6K Views
What if Rais Akiwa ni Mwigulu Nchemba hii nchi itakuwaje? What if rais akiwa ni Dr Tulia Aksoni tutafika wapi? Okay. Sawa Tuna Rais Mwema Dr Samia Suluhu Hassani lakini akitoka huyu akaingia...
3 Reactions
16 Replies
798 Views
UTEUZI: SIXTUS MAPUNDA ATEULIWA UKUU WA WILAYA SUMBAWANGA === TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sixtus Mapunda kuwa...
7 Reactions
98 Replies
19K Views
ZIARA YA ENG. FATMA REMBO - MJUMBE WA UWT TAIFA MKOA WA IRINGA Mjumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa 2022-2027 Kutokea Mkoa wa Iringa Ndugu Eng. Fatma Rembo amefanya ziara...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Ile kesi iliyofunguliwa na Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea leo Mahakamani. Wajumbe wa bodi ya Wadhamini ya Chadema, Dkt. Azavel Lwaitama na Ruth Mollel...
9 Reactions
78 Replies
8K Views
Namkumbuka Zitto Zuberi Kabwe wa 2005-2010 na ninamlinganisha na huyu wa sasa mmmmhhh hadi inauma sana tukiendelea kupoteza vijana kama huyu wengine miaka ijayo kuna kazi kubwa sana ya kuja...
16 Reactions
137 Replies
16K Views
Jambo moja ni muhimu sana, Rais anapaswa kujua kuwa anafanya kazi kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Na Katiba imetoa wajibu wa lazima kwa Serikali kulinda watu. Ndio kazi ya Serikali – kulinda...
52 Reactions
390 Replies
41K Views
Hiyo siyo kauli yangu jamani. Hayo ni maoni na mtazamo wa Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu Zitto Zubeir Ruyagwa Kabwe kufuatia hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa juzi huko Chato, Geita juu ya...
23 Reactions
84 Replies
12K Views
Katiba ya JMT 1977 haina Ubaya wowote bali Binadamu wanaoitumia ndio waovu. Chukulia mfano wa akina Halima Mdee na wenzake ambao wanajua kabisa mule Bungeni wako isivyo halali lakini wamekomaa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 8/3/2023 NANSIO - UKEREWE MH Hassani Bomboko Mkuu wa wilaya ya Ukerewe ameshiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani katika Kuhitimisha Wiki ya Mwanamke...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Kitendo cha Kibatala kumuuliza Dr. Rwaitama swali moja kinaonyesha wazi kwamba masaa manne waliyotumia mawakili wa Jamhuri pamoja na mawakili wa kina Halima mdee kwenye kesi yakupinga kuondolewa...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Kutokana na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania sasa ipo kwenye nafasi nzuri ya kuimarika katika sekta za uwekezaji, biashara na utalii kutokana na maridhiano ya kisiasa. Miongoni mwa...
1 Reactions
2 Replies
489 Views
Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :- 1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe...
22 Reactions
74 Replies
5K Views
Chadema wana furaha, wanatabasamu usoni mwao, je nini wanafurahia!? kula asali ni kuongea maneno ya busara, sasa Chadema wanaongea mambo ya busara na kutenda kwa busara, je wanakosea? amani ndio...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mungu ni mwema Wakati Wote Ndugu zetu wa Chadema pale Ufipa st Kinondoni Shamba Hatuna haja ya kulumbana tena bali tuwe kitu Kimoja Yaliyopita yamepita tuanze Ukurasa mpya Mlale unono!
4 Reactions
25 Replies
918 Views
Kama una afya njema ya mwili na akili hebu chukuwa muda wako kumuangalia usoni Mama Samia kwa kutumia macho yako ya nyama na ya rohoni. Bila shaka utagundua kuwa Tanzania na watu wema wote wako...
2 Reactions
5 Replies
722 Views
Danadana za kupata KATIBA MPYA NA BORA zinaendelea, na kuendelea kutafuna fedha za umma kwa mabilioni. Maoni ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Ilikuwa ni siku chache baada ya mwaka huu (2016) kuanza ambapo Mkurungenzi wa kampuni yenye MAKSI nyingi katika kuendesha MALIPO ya ki-electronic alipomfuata Dr. Manyahi kumtakia heri ya mwaka...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mwanza. Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 11 akiwemo raia wa China, Meng Zhaon Ming (29) kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa saruji na mafuta aina ya Diesel katika mradi wa Reli ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…