Zitto Kabwe: Rais Magufuli amechanganyikiwa, hotuba yake imejaa uongo na upotoshaji!

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
Hiyo siyo kauli yangu jamani. Hayo ni maoni na mtazamo wa Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu Zitto Zubeir Ruyagwa Kabwe kufuatia hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa juzi huko Chato, Geita juu ya maambukizi ya COVID-19

Msikilize mwenyewe hapa na kisha ongeza au punguza, kubaliana naye au pingana
 
Hilo liko wazi linafahamika.
Tatizo sikuhizi mambo yamebadilika ukiongea ukweli utaitwa msaliti na unatumika na mabeberu walewale tunaowategemea kwenye bajeti zetu.
Upande wa pili ukiongea uongo na unafiq wakusifia ww ndie mzalendo.
 
Hiyo siyo kauli yangu jamani. Hayo ni maoni na mtazamo wa Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu Zitto Zubeir Ruyagwa Kabwe kufuatia hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa juzi huko Chato, Geita juu ya maambukizi ya COVID-19

Msikilize mwenyewe hapa na kisha ongeza au punguza, kubaliana naye au pingana
View attachment 1440744
Huyu Zitto anafunga Ramadan kweli?

Huwezi kumtenganisha na unafiki kabisa!
 
Hiyo siyo kauli yangu jamani. Hayo ni maoni na mtazamo wa Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu Zitto Zubeir Ruyagwa Kabwe kufuatia hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa juzi huko Chato, Geita juu ya maambukizi ya COVID-19

Msikilize mwenyewe hapa na kisha ongeza au punguza, kubaliana naye au pingana
View attachment 1440744
Magu anazingua na Zitto ni mnafiki.
 
Hana lolote huyo ni lofa moja hivi. Jinsi wanavyomfuata fuata ndio anaona yeye ni muhimu zaidi. Ashukuru arobaini hazijatimia.
 
Hiyo siyo kauli yangu jamani. Hayo ni maoni na mtazamo wa Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu Zitto Zubeir Ruyagwa Kabwe kufuatia hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa juzi huko Chato, Geita juu ya maambukizi ya COVID-19

Msikilize mwenyewe hapa na kisha ongeza au punguza, kubaliana naye au pingana
View attachment 1440744
Ni kweli Jiwe amechaganyikiwa, sijui tumekubali Vipi kuongozwa na Mtu Kilaza kiasi hiki, mtu ambaye kazi yake kila kukicha na kuibua sintofahamu kwenye nchi as If anakufa kesho!
 
Back
Top Bottom