sijulikani
Member
- May 15, 2014
- 52
- 89
Ilikuwa ni siku chache baada ya mwaka huu (2016) kuanza ambapo Mkurungenzi wa kampuni yenye MAKSI nyingi katika kuendesha MALIPO ya ki-electronic alipomfuata Dr. Manyahi kumtakia heri ya mwaka mpya.
Jamaa huyo jina lake kwa kifupi ni JR alimfuata Manyahi ili kumpa Manyahi zawadi ya mwaka mpya.
Tuliposikia tetesi hizi tukafuatilia kuona uhusiano wa Manyahi na JR.. Taarifa tulizopata ni kwamba uhusiano pekee uliokwepo ni wa Mwalimu na mwanafunzi tu wakati JR anasoma Chuo Kikuu na Manyahi akiwa mwalimu wake kwenye Chuo Kishiriki Cha Uhandisi yaani CoET.
JR amemaliza chuoni hapo mwaka 1999.
Sasa,wakati JR anafika na zawadi yake Manyahi hakujua lolote lakini inaelekea alishajua kwamba JR anafanya kazi kwnye kampuni yenye MAKSI nyingi katika kuendesha MALIPO .
Na anamjua kwamba waliosoma na jamaa kule Ifunda wanajua alivyokuwa hatari kuiba vidude vya kuwashia tubelight.
Basi, mazungumzo yakaanza kati ya Dr. Manyahi na JR.JR akajieleza amemletea Manyahi zawadi ya mwaka mpya. Manyahi akauliza ni zawadi gani hiyo. JR akatoa bahasha na kumpa Manyahi. Manyahi akakataa kuipokea na kumwambia JR aifungue mwenyewe ili wote wawili pale waone ni nini kilichokuwa ndani ya bahasha ile.
JR akawa hana jinsi, akafungua na kutoa dola 200,000 za kimarekani (USD 200,000).
Dr. Manyahi hakumkopesha JR akamwambia wazi, "..Wewe J..., miaka yote niko hapa Chuoni, na wewe ukoa hapa Dar na kwa zaidi ya miaka 15, hujawahi kuja hata kunisalimia, halafu leo ninatimiza mwaka niwe Chairman wa TANESCO unakuja na mzigo huu wa hela, eti ni zawadi yangu?. Hivyo siipokei".