Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa namna dunia inavyoenda, shughuli za kiuchumi zinavyoongezeka Duniani hasa kwenye sekta ya Viwanda na matumizi ya mkaa katika nchi masikini, mabadiliko ya tabia ya nch hayaepukiki. Nguvu...
3 Reactions
8 Replies
529 Views
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mwenyekiti wa Chama Chake mh Mbowe ndiye alipendekeza rangi nyekundu iongezwe kwenye Bendera ikiwa ni ishara ya Upendo Mbowe amesema hayo Ikungi...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Muda huu tarehe 10 Machi 2023, ninamuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam CPA Amos Makala akiongoza shughuli ya kumpongeza mama Samia kutimiza miaka 2 ya uongozi wake madarakani. Kumpongeza Rais kwa...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa? Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi. Chadema...
1 Reactions
6 Replies
638 Views
Dares Salaam. Baadhi ya mitambo ya kampuni binafsi ya kufua umeme (IPTL) inadaiwa kuibiwa na watu wanne akiwemo askari Polisi aliyekuwepo lindo siku ya tukio. Mitambo hiyo iliyopo Tegeta jijini...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Vijana wa kiume na wanaume wengi wakiwa wamejiajiri kwenye bodaboda, vijana wa kike na wamejikita kutafuta mitaji ya biashara kupitia VICOBA. VICOBA mpaka sasa vimesaidia wengi sana kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
743 Views
Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48 Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa DC inakuita anakuhoji akiona...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika harakati za kudai na kukumbusha katiba mpya suala la mgombea binafsi haliungumzwi kabisa. Si CHADEMA, ACT, CCM au chama chochote cha siasa wa kulisemea hili. Hii ni kwa sababu wote...
8 Reactions
14 Replies
898 Views
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi...
3 Reactions
48 Replies
8K Views
Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ? ------------------ Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha . Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema...
1 Reactions
3 Replies
439 Views
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii: Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu. Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Hahaha ni kisa cha kufurahisa wakati huohuo kinasikitisha kwa mda huu najikita katika kufurahisa .. Watanzania wengi wetu tumekua upepo uliokosa mwelekeo kwa kifupi hatujielewi sababu kubwa ni...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Awamu ya tano hakukuwa na maridhiano lakini hatukupata shida ya umeme kama ilivyo sasa. Awamu ya tano hakukuwa na maridhiano lakini hatukupata mfumuko wa bei kama ilivyo sasa. Awamu ya tano...
0 Reactions
8 Replies
409 Views
Huu mgao wa umeme ninaoushuhudia sasa, umeturudisha miaka mingi nyuma enzi za Mkapa. Nikienda kazini nakutana na mgao, nikirudi nyumbani inakuwa zamu ya nyumbani. Kila Jumamosi lazima wakate...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Bado mpaka sasa hazijafahamika sababu hasa za kijana mdogo kama huyu kujizolea umaarufu mkubwa namna hii kiasi cha kuwabwaga wazee kadhaa ikiwa ni pamoja na viongozi waliopo madarakani , wakiwemo...
35 Reactions
105 Replies
16K Views
Wasalaam wajumbe humu! Leo hii kila jimbo ambapo CCM wamechukua form za ubunge na udiwani maeneo mengi nchini wameandamana kwenda ofisi za NEC.Lakini huyu OCD wa mji wa Mbeya sijui kaishia darasa...
5 Reactions
19 Replies
45K Views
Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kutatua changamoto ya ajira kwa watanzania alitoa ajira lakini pia kama tunavyojua serikali haiwezi kuajiri watanzania wote hivyo akasema ataweka...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Nafikir Tu kabla kuingia Sheikh Ali H.Mwinyi katika kiti cha Urais wa Tanganyika (Tanzania) mwishoni mwa miaka ya 80 Hali ilikua Tete kiuchumi na kisiasa watu walibanwa wakabanika kisiasa na...
5 Reactions
23 Replies
973 Views
Chonde chonde Ndugu zangu wa Chadema pale Ufipa st Kinondoni msiuingilie uhuru wa kuongea wa Nabii Lema Lema aachwe aongee kile anachoamini ni vema Watawala wakakisikia Nabii Lema ni Sauti ya...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…