Mnyika: Mbowe ndiye alipendekeza rangi nyekundu iongezwe kwenye Bendera ya CHADEMA ikiashiria Upendo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,005
142,040
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mwenyekiti wa Chama Chake mh Mbowe ndiye alipendekeza rangi nyekundu iongezwe kwenye Bendera ikiwa ni ishara ya Upendo

Mbowe amesema hayo Ikungi Singida walipomsindikiza Tundu Lisu

Mungu ni mwema Wakati Wote!
 
Rangi nyekundu ni hatari, nyeupe ni amani

Nchi zote zilizopata uhuru kwa mtutu wa bunduki (kumwaga damu) bendera zao zina rangi nyekundu.

FFU kabla ya kutawanya maandamano huwa wanakunjua kitambaa chekundu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mwenyekiti wa Chama Chake mh Mbowe ndiye alipendekeza rangi nyekundu iongezwe kwenye Bendera ikiwa ni ishara ya Upendo

Mbowe amesema hayo Ikungi Singida walipomsindikiza Tundu Lisu

Mungu ni mwema Wakati Wote!
Nyekundu sio ishara ya kumwaga damu kweli?Mnyika sio kama hajui hilo ila amekausha tu
 
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mwenyekiti wa Chama Chake mh Mbowe ndiye alipendekeza rangi nyekundu iongezwe kwenye Bendera ikiwa ni ishara ya Upendo

Mbowe amesema hayo Ikungi Singida walipomsindikiza Tundu Lisu

Mungu ni mwema Wakati Wote!
Hiyo bendera iliyopendekezwa ipo wapi
 
Rangi ya damu, hatari, chuki, na mabaya mengi
Inaweza pia kuwa upendo, matukio mengine ya furaha pia
Ni jinsi unavyoiweka

Kama Red Rose
 
Viongozi wangu Wasije kuwa kama yale mataifa yenye bendera za mataifa wanao support ushoga zile bendera zenye rangi ya upinde wamezijejuza zile rangi ya chini ikapanda juu wakasema ni bendera za kuashiria amani
 
IMG-20230305-WA0013.jpg
 
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mwenyekiti wa Chama Chake mh Mbowe ndiye alipendekeza rangi nyekundu iongezwe kwenye Bendera ikiwa ni ishara ya Upendo

Mbowe amesema hayo Ikungi Singida walipomsindikiza Tundu Lisu

Mungu ni mwema Wakati Wote!
Hebu Uweke hapa tuione kupata ukweli huo.
 
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mwenyekiti wa Chama Chake mh Mbowe ndiye alipendekeza rangi nyekundu iongezwe kwenye Bendera ikiwa ni ishara ya Upendo

Mbowe amesema hayo Ikungi Singida walipomsindikiza Tundu Lisu

Mungu ni mwema Wakati Wote!
Rangi nyekundu? Rangi ya damu iwe ya amani? Unasema tundulissu yupi, yule aliyevua chupi hazarani kuonyesha makovu? Aliyeacha mke na watoto raia wa Marekani? Rangi nyekundu ni damu Bro.
 
Upendo upi huo wakati mnawachukia wadada wa watu kisa tu wamepata ulaji bungeni na kusahau mchango wao walioshiriki kukijenga chama. Kisha mnawaita majina ya ajabu na kushinikiza wanyimwe mshahara au wafukuzwe, mimi nilitegemea mngewasamehe tu kwa kuwa hawajui walitendalo lakini imefikia hatua hadi mnawapeleka mahakamani as if ni wahalifu.
 
Ushoga umezidi nchi hii.kwa hiyo hawa wanamchango kuliko wanawake wote chadema, kwa hiyo ukupewa uongozi unakuwa ndo unamchango mkubwa?? Au wanawake wote mawaziri wanamchango ccm kuliko mama Anna shekilango ?? Umekunywa nn
 
Kwa kauli zako hizi ndio unatoa picha halisi ya tabia ya chama chako unamalezi mabovu sana. Mimi nazungumzia mchango wa hao wanawake wa chama chenu wewe unaleta habari za wanawake wa nchi nzima
 
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mwenyekiti wa Chama Chake mh Mbowe ndiye alipendekeza rangi nyekundu iongezwe kwenye Bendera ikiwa ni ishara ya Upendo

Mbowe amesema hayo Ikungi Singida walipomsindikiza Tundu Lisu

Mungu ni mwema Wakati Wote!
Tuwekewe bendera asilia ya hiko chama maana Mbowe kaingia juzi kati
 
Back
Top Bottom