Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia.
Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia...
Ni swala la muda tu hii limbikizo la Ruzuku likiisha tutarudi kulekule labda CCM iwafanyie wepesi kwa mtindo mwingine
Pambalu kitambi kinachachamaa ghafla
Hii inawapa pressure wazee ndani ya...
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa...
Kwanza naanza kwa kumshukuru Mungu kwa maisha ya aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM.
Lakini pia nimpongeze rais wetu wa sasa mama yetu kipenzi SSH kwa kutimiza miaka miwili ya kuliongoza taifa...
Tanzania itaiuzia Umeme Afrika Kusini kufuatia Nchi hiyo kukumbwa na msukosuko mkubwa wa nishati hiyo
Hayo yamebainishwa katika ziara ya Rais Samia nchini humo ambako mikataba mbalimbali ya...
Kua watu hawaelewi mamlaka ya mahakama hii ya ICC. Wanadhani kwamba ili ushtakiwe kwenye mahakama hii ya ICC ni lazima nchi yake iwe mwanachama. Jambo ambalo siyo kweli.
Mahakama hii ina uwezo wa...
Salamu wana Jf
Matumaini yangu mama atausoma huu Uzi
Kuna mbunge wa viti Maalumu wa ccm jina kapuni,bungeni ajawahi kutoa hoja za kueleweka,tunaishi nae mtaa mmoja ni mama wa makamo hivi.baada ya...
Habari Tanzania!
Pole kwa uchovu wa majukumu na mihangaiko ya hapa na pale katika kutimiza majukumu yako.
Naomba nitoe ushauri kwa SERIKALI hii.
1. Ufugaji wa kuku wa kisasa Mkoa wa SINGIDA...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu leo Machi 17, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya SUMMA yenye makao yake makuu nchini Uturuki...
Jana ikiwa ni Siku ya Kumbukizi la hayati Magufuli Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh Lema amesema wameamua kuingia kwenye Maridhiano ili kupata Ushawishi wa Wananchi waweze kushika Dola
Lema...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali kuhusu maendeleo ya Sekta ya Utamaduni,Sanaa na Michezo katika kipindi cha miaka miwili...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Songea Vijijini Mhe. Jenista Mhagama amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Imezoeleka Rais Mpya aliyeko madarakani kuadhimisha siku 100 Ikulu, utaratibu ambao nchi nyingi zimeiga kutoka Marekani. Baada ya hapo Rais anaachwa kuchapa kazi.
Hata Joe Biden baada ya zile...
Hii ni Taarifa ninayoipeleka kwa Tume ya Haki Jinai , kwamba kama kweli tunataka haki basi wale wote waliodhalilishwa na kukamatwa kwa tuhuma za uongo za kufanya sherehe kutokana na kifo cha Rais...
Mara nyingi siku kama hii na tarehe kama hii viongozi mbalimbali ambao walifanya kazi kwa ukaribu na JPM huwa wanatoa neno au kupost chochote hata kazi zake siku kama ya leo lakini imekuwa tofauti...
Mimi na wenzangu, tunasherekea kutimia miaka miwili ya taifa kukoma Udikteta, matusi, masimango, ghiriba, uzandiki nk, miaka miwili kukoma kwa vilio na misiba kile eneo, ni miaka miwili kukoma...
Namna katibu wa NEC itikadi na uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka kijana wa Mwambao wa Bahari ya Hindi pale Zanzibar anavyofanya uongozi wake imenirudisha mwezi July mwaka 356k.k. katika Mwambao wa...
Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.
Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?
Ikumbukwe mwaka jana...