Leo ni kumbukizi kabisa ya hayati Dr. John Pombe Magufuli viongozi wa Serikali waliokuwa karibu naye naona hawajatoa neno au wanamwogopa mama Samia!

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Mara nyingi siku kama hii na tarehe kama hii viongozi mbalimbali ambao walifanya kazi kwa ukaribu na JPM huwa wanatoa neno au kupost chochote hata kazi zake siku kama ya leo lakini imekuwa tofauti wengi wameogooa kupost chochote siyo wabunge hata waliopo ndani ya serikali wameogopa kutoa neno lolote ,

Je ni kweli mama anaogoowa kiasi hicho hadi kufanya viongozi hao kutotoa hata neno lolote kuhusu jpm siku kama ya leo kwa kuhofia kunyanganywa vyeo vyao au wapo busy na majukumu.

Kuna kiongozi mkubwa ndani ya ccm aluwahi kuniambia hivi usione unasifiwasifiwa lakini wana CCM wengi ni wanafiki na aliwahi kusema CCM hawaachiani maji mezani maana hawaaminiani.
 
Wahuni Ni Watu Wabaya Sana, Ukiisikiliza Clip Ya Pole Pole Utaelewa Alikuwa Na Maana Gani

Wahuni Ndiyo Wametimiza Jambo Lao Leo Kuhakikisha Mzilankende Hazungumzwi Popote Pale Yaani Kimya Hakuna Kupata Airtime Kwenye Vyombo
 
IMG_9191.jpg
 
Ndo mana Yesu alizichukia siasa,
MUNGU naye hakupenda Israel kuongozwa na mfalme,
Coz siasa ni ushetani
 
Mara nyingi siku kama hii na tarehe kama hii viongozi mbalimbali ambao walifanya kazi kwa ukaribu na JPM huwa wanatoa neno au kupost chochote hata kazi zake siku kama ya leo lakini imekuwa tofauti wengi wameogooa kupost chochote siyo wabunge hata waliopo ndani ya serikali wameogopa kutoa neno lolote ,

Je ni kweli mama anaogoowa kiasi hicho hadi kufanya viongozi hao kutotoa hata neno lolote kuhusu jpm siku kama ya leo kwa kuhofia kunyanganywa vyeo vyao au wapo busy na majukumu.

Kuna kiongozi mkubwa ndani ya ccm aluwahi kuniambia hivi usione unasifiwasifiwa lakini wana CCM wengi ni wanafiki na aliwahi kusema CCM hawaachiani maji mezani maana hawaaminiani.
Kweli kabisa ccm ni hatari mno kwa maendeleo yetu.
 
Wa Mwisho ni Samike alitimuliwa jana, sasa watu wanaojua kuandika na kusoma!!! Hawawezi weka hatiani uchumia tumboz.
 
Mara nyingi siku kama hii na tarehe kama hii viongozi mbalimbali ambao walifanya kazi kwa ukaribu na JPM huwa wanatoa neno au kupost chochote hata kazi zake siku kama ya leo lakini imekuwa tofauti wengi wameogooa kupost chochote siyo wabunge hata waliopo ndani ya serikali wameogopa kutoa neno lolote ,

Je ni kweli mama anaogoowa kiasi hicho hadi kufanya viongozi hao kutotoa hata neno lolote kuhusu jpm siku kama ya leo kwa kuhofia kunyanganywa vyeo vyao au wapo busy na majukumu.

Kuna kiongozi mkubwa ndani ya ccm aluwahi kuniambia hivi usione unasifiwasifiwa lakini wana CCM wengi ni wanafiki na aliwahi kusema CCM hawaachiani maji mezani maana hawaaminiani.
Ateketee zake na udhalimu wake huko jehanam. Watu waache shughuli za kitaifa wahangaike na ibada ya mfu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi siku kama hii na tarehe kama hii viongozi mbalimbali ambao walifanya kazi kwa ukaribu na JPM huwa wanatoa neno au kupost chochote hata kazi zake siku kama ya leo lakini imekuwa tofauti wengi wameogooa kupost chochote siyo wabunge hata waliopo ndani ya serikali wameogopa kutoa neno lolote ,

Je ni kweli mama anaogoowa kiasi hicho hadi kufanya viongozi hao kutotoa hata neno lolote kuhusu jpm siku kama ya leo kwa kuhofia kunyanganywa vyeo vyao au wapo busy na majukumu.

Kuna kiongozi mkubwa ndani ya ccm aluwahi kuniambia hivi usione unasifiwasifiwa lakini wana CCM wengi ni wanafiki na aliwahi kusema CCM hawaachiani maji mezani maana hawaaminiani.
Magufuli ni historia mbaya ambayo viongozi hawataki kujinasibu nayo.

Huoni Samia mwenyewe ndiyo kwanza yuko kwenye regional politics South Africa?

Akitoka hapo anamu host Kamara Harris, Vice President of the US, anaingia katika geopolitics.

Magufuli kashakuwa historia.
 
Mama hana shida sema ni ubinafsi wa binadamu, urafiki, ukaribu uletwa na pesa, umaarufu, madaraka, vikiondoka hivi utabakia pekee yako.
 
Pesa ndio uleta marafiki nje ya hapo utabakia na Yesu pekee.
Shida YAKO raha ya wote
 
Sisi waloenda tunatosha. Bora wabaki huko nanunafiki wao
Nawazaga hivi wale watu wana bima ya maisha kwamba siku moja hawatolalaga mwanandani? Aiiiiiiiiiii yangu macho.
 
Back
Top Bottom