Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Performance za kibabe za huyu Mwamba hakuna mtu anayeweza kutia Maguu. Jamaa ni Legendary, ngoja mda wetu wa kuchukua madaraka ufike tutaelewana tuu, wacha wazee wataabishaji waishe kwanza.
2 Reactions
5 Replies
782 Views
Ndugu zanguni, Wabunge karibia 146 wamesusia kikao cha katiba baada ya kuonekana kuwa wale walio wengi wanawabeza na kuwaburuta walio wachache. Mimi ni CCM damu lakini nimekerwam kuona katiba...
14 Reactions
45 Replies
5K Views
Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria...
3 Reactions
9 Replies
834 Views
Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais Samia Suhulu Hassan kwenye misa ya kumuombea Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli leo Machi 17 2023 nyumbani kwa Hayati Magufuli Chato mkoa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Hawa wanaojiita wapinzani, si wapinzani kiuhalisia, ni wachumia matumbo, kuna fungu wamepokea toka kwa wana-CCM majizi kuleta taharuki. Badala ya sisi wananchi kujikita kufuatilia mwenendo wa...
1 Reactions
8 Replies
518 Views
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan nchini Saudi Arabia, imeanza kuleta matunda. Waziri Ulega ameeleza kuwa kufuatia ziara hiyo, mamia ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Lema ana akili nyingi Sana Kichwani na pia ana Huwezo mzuri wa kuchambua Mambo ya kiasiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. Watz Wamefungwa akili na wanaamini umasikini ni mpango wa Mungu...
20 Reactions
41 Replies
3K Views
Hili liwe fundisho kwa wengine, kwamba hata uwe mbabe, mwema au hata uweje, ukishakufa na habari zako zitazikwa. Magazeti yaliyokuwa yanampamba Magufuli kutwa kucha, leo yanashindwa hata kuandika...
12 Reactions
38 Replies
2K Views
Chama chochote kinachojiamini kwamba kitashinda uchaguzi ujao" na kimekuwa ni chama chenye kumchukia sana hayati JPM na kinadhani hata kikiunda kauli mbiu kuonyesha jinsi gani kilimchukia na...
3 Reactions
3 Replies
660 Views
Kwa mujibu wa yanayoendelea nchini sasa ni kwamba wananchi wengi hawaamini kauli nyingi za serikali hususani zinazotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu masuala ama matukio ya kinyama waliyofanyiwa...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Waziri wa Elimu hakika umekuwa unajitahidi sana kutendea haki Wizara unayosimamia na kwa hakika hapa mheshimiwa Rais anastahili kupongezwa kwa kukuona kuwa unafaa kuongoza Wizara hii jeti sana kwa...
6 Reactions
76 Replies
3K Views
Kila dakika kwenya hiyo clip alikuwa akioneshwa yeye na mambo yake, unafikiri ni sawa ama utoto na kulitia taifa aibu?
12 Reactions
85 Replies
10K Views
Mdude_Nyagali Kwanza nakupa pole mno kwa mambo yaliyokukuta. Umepitia mateso makubwa sana kwa sababu ya Imani yako ya kisiasa nakwa sababu ya uzungunguzaji wako na hoja zako. Tangu ulivyotoka...
1 Reactions
8 Replies
694 Views
Ukitaka kupata maendeleo, ukitaka kufanikiwa, ni lazima uyafahamu maeneo ambayo hufanya maamuzi ya ufanikiwe au ushindwe kufanikiwa. Na kwa upande wa Serikali, kuna sekta ambazo ndizo huamua kama...
1 Reactions
3 Replies
397 Views
Amani iwe nanyi wanajamvi! Leo napenda nichukue fursa hii kumpongeza mwanajamvi Pasco kwa kuona mbali juu ya utawala wa mh Rais wa JMT ndugu John Pombe Magufuli. Rais amefanya mambo mengi...
22 Reactions
211 Replies
27K Views
Hii ndiyo Taarifa ya uvunguni ambayo imevuja , kwamba yule kijana katili aliyetesa watu na kupora pesa za wafanyabiashara wa Hai anapanga kukimbia nchi hii baada uchunguzi dhidi yake kumkalia...
46 Reactions
130 Replies
14K Views
Marekani imeahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na ujuzi pamoja na kuvutia uwekezaji kupitia ubia kati ya sekta ya umma na...
0 Reactions
7 Replies
833 Views
Week hii aliuawa dada mmoja huko Kibaha, Week hii hii tena kuna dada kauawa huko Musoma. Ukirudi nyuma weeks mbili ago kuna mtu aliuawa na mwingine alipatikana baada ya kupotea kwa muda fulani...
3 Reactions
11 Replies
768 Views
Rais Mstaafu kafariki, Taifa limetangaziwa msiba huu mzito, kesho yake shughuli za serikali zinaendelea kama kawaida. Hata watoto kwenda shule wakaenda! Ligi za mpira zinaendelea wakati mwili wa...
13 Reactions
39 Replies
4K Views
Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp...
23 Reactions
106 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…