Chato: Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, atembelea kaburi la Hayati Magufuli

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Leo.

Pengo leo Machi 16, 2023 ametembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nyumbani kwa marehemu kijijini Chato mkoani Geita aliyefariki Dunia Tarehe 17 Machi 2021
IMG_20230316_212527_116.jpg
IMG_20230316_212529_604.jpg

c4.jpeg

Hivi Mzee Benjamini Mkapa mmoja wa marais bora wa Africa aliwakosea nini wa Tanzania ?

ni mmoja wa Ma Rais bora sana lakini ni Rais asieadhimishwa kwa viwango sahihi tangu akiwa hai?

Mzee Benjamini Mkapa atakuja kuadhimishwa baadae sana kizazi hiki cha famasihala sijui fausenge kitapoisha
 
Safi mwadhama
Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Leo.

Pengo leo Machi 16, 2023 ametembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nyumbani kwa marehemu kijijini Chato mkoani Geita aliyefariki Dunia Tarehe 17 Machi 2021
View attachment 2554194View attachment 2554193
View attachment 2554183
View attachment 2554186
View attachment 2554187
amefanya Jambo jema🙏
 
Ngoja tuwasubiri

Machawa na makunguni hukuu

Sisi TEAM JPM hatuna habari nanyi

Tuko Chato kwa AZimisho la Misa ya Kumbukizi ya Mzee wetu Baba wa pili wa Taifa hili.

Mzalendo wa kweli

Kiongozi aliyeacha alama kubwa .
Kiboko ya Mabeberuu huyooo

Nidhamu serikalini
 
Back
Top Bottom