Naomba mniruhusu tu niandike haya machache! Leo muda wa asubuhi nilimuagiza mtu wa 'bodaboda' aniletee vitu nilivyomuagiza. Walikuwa na mwenzake.
Baada ya salamu yule mwenzake akasema "hali ni...
Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia ameonyesha utayari wa kufanya mabadiliko ili Wizi wa kura wakati wa Uchaguzi usiwepo
Lisu amesema kwa sababu ya Imani yao kwa Uongozi wa...
Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons)...
Raisi Samia Askari tunahitaji uongeze posho zetu kwa KIGEZO kilekile kwamba gharama za maisha zimepanda!! Kama ilivyo kwa watu wengine nasi maisha yamepanda Sana hivyo hakikisha unaongeza posho...
Kwa wanaokumbuka hii habari ya watesi wa Kikwete ndio ilipelekea Magu ang'ake na kutaka wastaafu waachwe wapumzike.
Ilikuwa katika kongamano moja ambapo Jenerali Ulimwengu alitoa kauli ya kutaka...
Jamaa ukiangalia ana hoja juu ya masuala aliyozungumza na kuleta tafrani kwa wasiotaka kutumia akili na kufikiri kabla ya kujibu.
Ukiangalia aliyoyalenga mfano bodaboda ile ni ajira shikizi kwa...
Ndugu zangu watanzania,
Kwa Sasa Tanzania chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa serikali ya CCM mikononi mwa Rais Samia inatazamwa kwa jicho la Tofauti na mataifa makubwa na viongozi wakubwa...
Afya ya wananchi ndiyo kitu muhimu kuliko vyote. Shughuli zote za uchumi wa nchi zinategemea sana afya za wazalishaji kuwa na afya njema ya kimwili, kisaikolojia, kiakili na kiroho.
Hii mifuko ya...
Ilikuwa ni furaha na tabasamu kwa wanakijiji 10 wa Nkomelo wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya kukabidhiwa nyumba zao mpya zkama sehemu ya fidia kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta...
Salam wana Jukwaa,natumia jukwaa hili kupaza sauti ya namna voda wanavyojinufaisha na pesa za Watanzania kwa ujanja ujanja.
Vodacom kupitia kitengo cha M.pesa wana mawakala karibu kila pembe ya...
Awamu iliyopita kuliibuka kikundi cha wasiojulikana, wanapewa nguvu kubwa kiasi kwamba binadamu walioripotiwa kupotea au kutokuonekana au kutekwa vyombo havikuona umuhimu wakuwatafuta Kwa kigezo...
Godbless Lema shukuru sana Nyerere hayupo hai angekufunza adabu. Wewe umekuwa mtu wa kudharau fedha inawezekanaje useme million 12 ni hela ndogo sana kwako ilihali fedha ni mali ya serikali? Wewe...
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Askofu Nyaisonga amesema Waumini wa Kanisa hilo Duniani kote wamesikitishwa na tukio la uvamizi na unajisi wa Kanisa Katoliki Geita.
Baba Askofu...
Kuthamini vyombo vya ulinzi na usalama katika kujenga Taifa la Tanzania ilikuwa sahihi. Angalia historia ya ulimwenguni misaada tunayopata Tanzania kutoka nchi za nje inatekelezwa na wanajeshi wa...
WanaJf,
Salaam!
Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria.
Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati...
Sidhani kama kuna Mwanasiasa anayezungumzwa Sana barani Africa kama hayati Magufuli iwe ni kwa Wema au Ubaya
Siku zijazo wako viongozi wengi watakaotamani Mbingu iwakumbatie na Dunia isiwasahau...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , leo tarehe 18/3/2023 yuko Jijini Mwanza kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Muasisi wa chama hicho, Mzee Silvester Masinde.
Pamoja naye yupo pia Katibu Mkuu wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.