Mwanza: Freeman Mbowe aongoza Mazishi ya Silvester Masinde

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,246
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , leo tarehe 18/3/2023 yuko Jijini Mwanza kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Muasisi wa chama hicho, Mzee Silvester Masinde.

Pamoja naye yupo pia Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, wajumbe kadhaa wa Kamati Kuu, pamoja na umati mkubwa wa wanachama wa Chadema.

Mzee Masinde alifariki tarehe 15/3/2023 kwenye Hospitali ya Bugando alikokuwa anapatiwa matibabu na anatarajiwa kuzikwa leo Jijini humo.

Apumzike kwa Amani.
 
RIP Mzee wetu!
 
Ugomvi upi ulioamuliwa kwa mzee wetu jamani. Maana tumeaminishwa kila anayefariki Mungu anakua kaamua ugomvi
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , leo tarehe 18/3/2023 yuko Jijini Mwanza kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Muasisi wa chama hicho, Mzee Silvester Masinde.

Pamoja naye yupo pia Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, wajumbe kadhaa wa Kamati Kuu, pamoja na umati mkubwa wa wanachama wa Chadema.

Mzee Masinde alifariki tarehe 15/3/2023 kwenye Hospitali ya Bugando alikokuwa anapatiwa matibabu na anatarajiwa kuzikwa leo Jijini humo.

Apumzike kwa Amani.
Hakuwa mzuri?
 
Back
Top Bottom