Ilianza NCCR ikapotea CUF wakachukua nafasi yao CUF nayo ikapotea CHADEMA ikachukua nafasi ila kwa tulipofika sasa mabadiliko yatapatikana kupitia CHADEMA au hayatapatikana kabisa. Hakuna dalili...
Hongera sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha Diplomasia ya Kiuchumi na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji nchini Tanzania.
Pongezi za dhati kwa hatua hii...
Anaandika Fortunatus Buyobe kwenye Mtandao wa X
====
Juzi niliripoti tukio la jaribio la watu kuniteka.
Watu wale wakitumia gari tatu aina ya Land Cruiser na Subaru Forester nyeusi walitaka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
Hajui mipaka yake ya kazi, hujiona yeye ni kiongozi wa wizara zote.
Hajui chain of command.
Akipewa cheo hujiona yeye ni kila kitu, he's everything.
Low IQ, 'wanaopigia kelele rushwa hawajaingia...
Guys
Chadema ilitisha sana kahama pamoja na.mizengwe ya CCM
1. NMB Wakagawa mitungi ya gas bure waaapi.
2. Leseni bure kwa boda boda waapi
3. Asili festival wapiii
Watu walikataa yote hayo...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amesema hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na...
Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe.
Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika...
Akizungumza bungeni leo Mei 21, 2026 wakati wa Maswali na Majibu, Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete amehoji kuhusu mikakati ya Serikali kutatua changamoto za maji zinazozikabili tarafa ya...
Wakuu,
Ni ya kweli haya au ndo Ulega anapenda kujiamulia mambo :BBRUHH:
Sasa kwa nini watu wanasafiri kwenda Dubai wakati tayari tuko Dubai,
Na lile vumbi la Nanjilinji je?
--------------
Waziri...
Katika ulimwengu wa ukaguzi wa hesabu forensic auditing na intelijensia ya jinai (criminal intelligence) miradi mikubwa inayohusisha wageni mashuhuri kama Wasanii na wanamichezo, matukio ya...
Katika nadharia ya sayansi ya siasa, uwepo wa uwanja sawa wa ushindani (level playing field) ndio nguzo kuu inayotofautisha mifumo ya kidemokrasia na ile ya kimamlaka (authoritarianism). Kauli ya...
CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha...
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Anita Annet Among, anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kutoka kwa baadhi ya wabunge kufuatia madai ya ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma.
Baadhi ya...
Kama kweli tuna nia ya dhati ya tume kufanya kazi zake, basi tufuate misingi ya haki.
Taasisi ya Rais kuunda tume ya kuchunguza Jinai, ina maana ya Wakuu wote wa taasisi za ulinzi, usalama...
Tazama hadi mwisho. Ona! Jinsi Spika Zungu anavyotumia vibaya mamlaka yake kuzima Sauti ya Wananchi. AdoShaibu ameketishwa chini kilazima kisa tu Spika kaota kuwa Mbunge wa Wananchi ataongea mambo...
Madeleka, warioba, Heche, Mwabukusi nk mnaochambua siasa za Tanzania huku mkionesha kuwa katika taifa la kidemokrasia serikali, vyombo vya Dola na bunge linapaswa,lilipaswa kufanya hiki au kile...
Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia?
Eti, wakuu ungebaki unaheshimika au tungeona vitu vya ajabu mpaka tukakumbia?
Mpaka Leo Samia suluhu hajui aliyetoa amri ya mauaji ni nani,
JE watanzania hatuamini yakuwa mama yetu kipenzi hakuusika katika ushenzini huu?
Nakutabilia ushindi mama Samia jipange icc court