Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema anatambua kundi la vijana waliojiajiri kupitia bodaboda na yuko tayari kwenda nao mpaka 2025. Rais Samia Suluhu...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi.
Rais Samia amezungumza hayo alipofanya mkutano wa faragha wa Mawaziri, Naibu...
Unajua wizi wa serikalini ni mifumo iliyo katika mtindo wa Siasa zetu na asipotokea Mnyang'anyi mmoja mwenye Huruma ujue tumekwisha
Kisa cha Dismas na Dema waliosulubiwa Pamoja na Yesu kinaweza...
Baadhi ya watu wachache tunajulikana na "kujiapiza" kukusemea mazuri na kukuombea kwa Mwenyezi Mungu na hakika Jamii imeanza kuelewa nini hasa umedhamiria kutufikisha.
Ukuaji wa uchumi na ustawi...
Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Kamishna Mkuu Mstaafu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake umeieleza mahakama kuwa wamepokea awamu ya kwanza ya vielelezo kutoka...
Dar es Salaam.Wakili Majura Magafu ameutaka upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Kampuni ya Uwekezaji wa Mitaji na Dhamana (Egma), Harry Msamire Kitilya na waliokuwa maofisa...
Wakati wa bajeti, kuna kosa kubwa linafanyika kwa kutokuweka kwenye bajeti kiasi cha pesa ambacho viongozi na watendaji wa Serikali wataiba.
Kwa sababu wizi wa viongozi na watendaji wa Serikali...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa kampuni inayoshughulikia uwekezaji wa mitaji na dhamana (Egma), Harry Kitilya na waliokuwa maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon bado wanaendelea...
TAKUKURU haiwezi kufanya kazi kwa ufanisi kwa mfumo wake wa sasa iliyo nao wa centralization. Ukusanyaji wa madaraka sehemu moja ni mojawapo ya tatizo kubwa sana katika utawala. Mambo yanachelewa...
Kila siku CAG anakuja na report kuhusu upotevu wa mabilioni kwenye secta ya umma lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Wakati CAG akija na hoja hizo mara nyingi PCCB hakuna sehemu anakuja na hoja...
Hivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii.
Chadema wangechapisha hadi...
Watanzania tusipo badilika na kuacha uoga na unafiki tutataliwa na ccm milele na kubaki mafukara milele.
Kumekuwa na wimbi la wananchi wengi kulaumu upinzani kwa Kila uovu unaofanywa na ccm...
GTs,
Nina maoni:
Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu.
Sababu:
1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika...
Great thinkers,
Tumsaidie Rais Dkt Samia kufahamu mbinu mbali mbali wanazotumia wateule wake kuiba hela za umma na kumhujumu. Mi nitatoa moja ya mbinu hizo kwenye serikali.
Mteule anapopata...
Ni Ezekiel Wenje na Halima Mdee waliosema hadharani kwamba Shujaa Maguful asingevumilia ufisadi uliobainishwa Kwenye Ripoti ya CAG.
Tunasubiri Kauli ya Mwenyekiti na tamko la Chadema Kabla Umoja...
Swali la msingi je ni nani ana uchungu rasiliamali za hii nchi?
RAIA-Raia wa Tanzania walipaswa kuwa wa kwanza kwa uchungu ika hili silioni kabisa, raia tuko busy kujadili Yanga na Simba ilihali...
Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali...
Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?
Chanzo: CCM Blog: DK TULIA ACKSON NDIE NAIBU SPIKA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Salaam,
Jana Tanzania iliweza kupata Naibu...
Jana nilimsikia Rais Magufuli akisema ndani ya miaka yake mitano ijayo endapo atashinda basi Tanzania kuwa kama Ulaya by 2025.
Hivi Watanzania turudi nyuma kidogo. JK alituambia Kigoma itakuwa...
Salaam waungwana wa Jamii forum
Baada ya ripoti ya CAG kubainisha madudu kwenye Wizara na taasisi mbalimbali za kiserikali, ikiwemo ubadhirifu wa mabilioni ya walipa Kodi maskini wa nchi hii...