By 2015 Kigoma kuwa kama Dubai, Mwanza kuwa kama California

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
24,143
56,602
Jana nilimsikia Rais Magufuli akisema ndani ya miaka yake mitano ijayo endapo atashinda basi Tanzania kuwa kama Ulaya by 2025.

Hivi Watanzania turudi nyuma kidogo. JK alituambia Kigoma itakuwa kama Dubai by 2015, leo tupo 2020, je Kigoma imeshakuwa kama Dubai?

Watanzania wenzangu tusidanganyike na maneno ya Rais Magufuli. Kusema ukweli Tanzania kuwa kama Germany by 2025 hilo haliwezekani kabisa. Miaka mitano SGR Dar es Salaam mpaka Dodoma bado inawasumbua wataweza kujenga SGR Dodoma Mwanza/Kigoma ndani ya miaka mitano mingine?

Tusidanganyike. Halafu wanatuona hatuna akili kwa kutuahidi mambo matamu ambayo wanajua kabisa hawawezi timiza.

2479036_20200807_105647.jpg
 
Na TABORA itakuwa kama TORONTO

Sasa mlitaka muambiwe itakuwa Kama jehanam..?
Haya mambo hayajaanza leo toka tukiwa watoto kula tu unaambiwa kula ili twende mjini.. Basi nawe unapakia kinyama paka mtumbo unakuwa mkubwa ukisubiri uende mjini na mtumbo wako..😂

Bila kudanganywa waafrika hatukubali so uongo ni sehemu ya maisha tu na mtu akiambiwa ukweli ndo hataki katakata.. we uwaambie ati mpk 2025 tutakuwa hivihivi hizo kura utazisikia tu mwishowe uje ulalamikie mizimu yenu kumbe we mwenyewe uliyaharibu Mambo..😅
 
Yaani anajua anaongea na watu kawashina upeo wa akili. Believe me kuna watu watampigia kura just because wanaamini ataifaya Tanzania kuwa kama Uholanzi.
Hasa wanaccm,most of them are empty heads,nakumbuka 2016 nilikuwa najibizana na mama mmoja pale kwenye ofisi za TRA samora Avenue,mama alikuwa ameshupaza shingo na midomo kwa Magu ataofanya Tanzania iwe ya viwanda in five years.Pamoja na kujaribu kumsaidia kuelewa why is not possible kuwa na Tanzania ya viwanda but hakuelewa kabisa,I believe hilo la viwanda atakuwa amelisahau Sasa na Sasa atakuwa anaimba nyimbo za kuwa Tanzania Kama dubai
 
Tusimpinge inawezekana Kama kila mmoja wetu atafanya kazi kwania ya kukuza kipato chake. Yy atatengeneza miundombinu lakin sio had nyumba akujengee yy, mitaa asafishe yy ww upo kijiweni ukiwa na matumain ipo cku nimimi sir God ataniona haiwezekani narudia kwa msisitizo haiwezekaniiii.
 
Jana nilimsikia Rais Magufuli akisema ndani ya miaka yake mitano ijayo endapo atashinda basi Tanzania kuwa kama Ulaya by 2025.

Hivi Watanzania turudi nyuma kidogo. JK alituambia Kigoma itakuwa kama Dubai by 2015, leo tupo 2020, je Kigoma imeshakuwa kama Dubai?

Watanzania wenzangu tusidanganyike na maneno ya Rais Magufuli. Kusema ukweli Tanzania kuwa kama Germany by 2025 hilo haliwezekani kabisa. Miaka mitano SGR Dar es Salaam mpaka Dodoma bado inawasumbua wataweza kujenga SGR Dodoma Mwanza/Kigoma ndani ya miaka mitano mingine?

Tusidanganyike. Halafu wanatuona hatuna akili kwa kutuahidi mambo matamu ambayo wanajua kabisa hawawezi timiza.
Alikuwa anaongea na empty heads ccm members
 
Tusimpinge inawezekana Kama kila mmoja wetu atafanya kazi kwania ya kukuza kipato chake. Yy atatengeneza miundombinu lakin sio had nyumba akujengee yy, mitaa asafishe yy ww upo kijiweni ukiwa na matumain ipo cku nimimi sir God ataniona haiwezekani narudia kwa msisitizo haiwezekaniiii.
Mkuu naomba nikuulize swali? Aliyeua soko la korosho na mbaazi ni serikali au mkulima?Au aliyeua sector binafsi ni serikali au mtanzania wa kawaida?
 
Hasa wanaccm,most of them are empty heads,nakumbuka 2016 nilikuwa najibizana na mama mmoja pale kwenye ofisi za TRA samora Avenue,mama alikuwa ameshupaza shingo na midomo kwa Magu ataofanya Tanzania iwe ya viwanda in five years.Pamoja na kujaribu kumsaidia kuelewa why is not possible kuwa na Tanzania ya viwanda but hakuelewa kabisa,I believe hilo la viwanda atakuwa amelisahau Sasa na Sasa atakuwa anaimba nyimbo za kuwa Tanzania Kama dubai
Safari hii atakuwa na wakati mgumu sana kujinadi. Ndo maana anawadanganya ataifanya Tanzania kuwa kama Ulaya.
Ulaya kwanza wanyonge ndo huishi kwenye nyumba za serikali ila hapa Tanzania ni kinyume chake.
Ulaya mtu akiachishwa kazi anaendelea kulipwa kwa miezi kadhaa wakati akitafuta kazi nyingine.
Ulaya maji yapo kila sehemu na hayakatiki siku 365/365.
Umeme kila nyumba na haukatiki kwa siku 365/365.
Na mengine kibaooooo.
 
Back
Top Bottom